Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona.
Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona...
Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.
Katoka ma RC ambao wanapenda kukurupuka ni Makonda na Gambo. Wanajitahidi kufanya mazuri pia lakini wanahitaji wakati mwingine kusubiri na kufikiri kwanza kabla ya maamuzi.
Baada ya picha za ubovu wa barabara ya Ngorongoro kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huyu mkurupukaji alikuja na kudai...
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limeanza kuyafanyia kazi maelekezo ya mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo aliyeagiza watu wanaosambaza mitandaoni video za ubovu wa barabara za kwenye hifadhi kukamatwa
Polisi imemtaka Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kutoingilia suala hilo. Mrisho Gambo...
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna amesema kikosi cha jeshi la polisi Mkoani humo kimewaua majambazi sugu watano wakati wakijibizana risasi na polisi na kuwakuta na silaha aina ya Shotgun Pump Action 32265,Chinese Pistol,Bastola 1 bandia,risasi 11 pamoja na simu 2 & pikipiki 3...
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.