gambo

  1. Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

    Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa. Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake...
  2. Mrisho Gambo: Mabadiliko ya kanuni Soko la Tanzanite mwaka 2019 yameipatia Serikali hasara kubwa sana

    Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha. Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
  3. Q

    Mrisho Gambo ataka Bunge liahirishwe, kujadili mfumuko wa bei

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo leo Ijumaa Aprili 8, 2022 ametoa hoja akitaka bunge liahirishe shughuli zake ili wabunge wajadili kwa kina kuhusu upandaji wa bei za bidhaa nchini ikiwemo vyakula na vifaa vya ujenzi.
  4. Mrisho Gambo: Suala la wamachinga si la mchezo, ni kuhusu maisha ya watu tena wanyonge kabisa. Tusisukumwe na Wafanyabiasha Wakubwa

    Suala la Machinga si jambo jepesi hata kidogo. Hakuna mtu anayependa kuwa mmachinga bali maisha ndio yamewafikisha hapo. Hakuna anayependa kupanga vitu vyake barabarani apigwe na jua au anyeshewe na mvua au agongwe na gari. Changamoto kubwa ni ukosefu wa ajira na Kazi ya Machinga imekuwa ni...
  5. U

    Mrisho Gambo ajitolea Mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
  6. Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

    Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB). Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu. Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata...
  7. Thadeus Mkamwa aeleza kuhusu mabadiliko ya mtazamo katika hoja anazozitoa Mrishi Gambo

    Kwa siku kadhaa zilizopita, tumemshuhudia mheshimiwa mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akichangia hoja bungeni. Hoja zake zimeibua hisia tofauti kati ya wengi kutokana na sababu mbalimbali. Moja ya sababu hizo inaonekana ni mabadiliko ya ghafla ya mtazamo wake kiutendaji kabla na baada ya...
  8. Kama mama mwenyewe amekiri msuli wake ulikuwa mdogo, Tusimuonee Gambo

    Tumeshuhudia hii miezi miwili kukiwa na kauli kadha wa kadha zenye kukinzana na matendo mbalimbali yaliyofanywa na awamu ya 5 chini ya Shujaa toka kwa wateule wake wa kipindi hicho. Moja ya wateule hao ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa ni mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh...
  9. Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

    "Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
  10. S

    Alianza Heri James, sasa ni Gambo na Makonda atafuata

    Vijana waliofaidika na kutamba vilivyo na mfumo kandamizi wa mwendazake ni pamoja na:- Makonda, Sabaya, Heri James, Mrisho Gambo, Ali Hapi na Mnyeti Ilikuwa huwaambii kitu hawa. Walifanya na kusema walitakalo hata kama linagharimu maisha, mali na utu wa mtanzania hawakujali. Walikuwa malaika...
  11. Mrisho Gambo acha Unafiki

    Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute. Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala katili na dhalimu wa Magufuli, kitu ambacho hakijui ni kwamba hawezi kukwepa sehemu udhalimu huo...
  12. Mrisho Gambo: Bajeti Haijatoa Ahueni yoyote Sekta ya Utalii, Wanaenda Kuiua

    Mrisho Gambo akichangia Bungeni kwenye Bajeti iliyopendekezwa, ameielezea kutotoa ahueni yoyote kwenye sekta ya utalii iliyoyumba kutokana changamoto za ugonjwa wa Covid. Amesema mchango wa utalii umeshuka kutoka asilimia 17.5 mpaka asilimia 10.7 na mapato yamepungua kutoka bilioni 584 mpaka...
  13. S

    Mrisho Gambo: Wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni walioporwa fedha na mali zao warudishiwe

    Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.” Pia, soma: Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha...
  14. Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi zote za Taifa na kupeleka ripoti bungeni kuhusu watalii wanaotembelea kila hifadhi na kiasi cha pesa kinachoingizwa na kila hifadhi kutokana na utalii huo. Gambo...
  15. Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

    Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi ======== MRISHO GAMBO: Wafanyakazi 14,409 ambao ni sawa na asilimia 2.82 walibainika kuwa na vyeti feki. Mheshimiwa naibu spika hoja yangu ambayo nataka niijenge hapa, pamoja na kuunga mkono zoezi la serikali kuwatambua watumishi wenye...
  16. M

    Mrisho Gambo alia na malipo makubwa bodi ya mikopo na serikali kutopandisha mishahara ya wafanyakazi

    Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15% Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
  17. T

    Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  18. Mrisho Gambo ajijue yeye sasa hivi ni Mbunge sio Mkuu wa Mkoa tena

    Lazima utofautishe ziara za kiutendaji na ziara za kisiasa. Gambo haya unayolialia uliyatengeneza ukiwa RC Arusha dhidi ya MP/Mbunge godbless_lema. Leo yanakurejea wewe mwenyewe pole usilie lie,ila Mbunge nafasi yake ni kubwa kuwakilisha wananchi na kuisimamia Serikali (Kuanzia Rais, mawaziri...
  19. Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake. Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa UWT...
  20. J

    Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

    Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti. Nini kimewatuliza? Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…