Hakika CCM imedhamiria haswa.
Mbunge mteule wa Jimbo la Arusha ndugu Mrisho Mashaka Gambo ameanza kutekeleza mojawapo ya ahadi zake alizozitoa jijini humo hususani katika soko kongwe na maarufu la watu wa kipato cha kati na chini ,SOKO LA KILOMBERO.
Mheshimiwa Gambo amewezesha uchimbaji wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni;
Arusha Mjini:
Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli.
Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli.
Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika mgahawa wa Safari Bistro jijini humo.
Wawili hao ambao wamekuwa na mchuano mkali kuwani jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
Nimehudhuria mkutano wa Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupiti CHADEMA, Godbless Lema leo, amekuchafua sana, amemwambia DJ aweke sauti ya Rais Magufuli akieleza sababu za kutengua uteuzi wa Gambo
Baadae tukamsikia Bashiru wote wamekuuleza wewe kama mtu mchonganishi na hufai kuwa kiongozi.
Lema...
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
Wakuu heshima sana.
Leo niliamua kufanya tathmini yangu isiyozingatia vigezo wala kibali kutoka mamlaka husika.
Nimefanya mahojiano na makundi mbali mbali na sehemu tofauti tofauti katika viunga vya Jiji la Arusha lilotamalaki kwa uchafu na magenge yanayozua magari kupita kwa urahisi.
Ni hivi...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia...
Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa)
Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo
Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote
Amesema kuwa waumini wa...
Na watanzania walivyo wanafki... Wanashangilia tu na kumpongeza rais kwa kumtumbua...
Tuseme ukweli tu jamaa alikuwa bonge la mchapakazi na mbunifu.. .
Katika mazingira yoyote huwezi shirikiana na jitu linalokudharau kwa kibri tu. .. Bila kujali nafasi uliyo nayo wala haiheshimu...
Mtu...
Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa...
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki...
Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”.
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana.
Tukio hilo lilitokea...