gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Geok

    Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

    Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
  2. sergio 5

    Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  3. Shuku_

    CHAI na USINGIZI vina uhusiano gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi. Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI...
  4. Fazzah5x

    Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  5. Lugano Edom

    Miji gani migumu kwa biashara wakuu?

    Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
  6. Mejasoko

    Mshahara mzuri unaanzia kiasi gani?

    Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo? Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
  7. Mkalukungone mwamba

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe?

    Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu Wewe kwanini ulikuja kwenye sehemu ya starehe bila pesa?
  8. M

    Afisa mauzo husomea tahasusi gani kwa level ya advance?

    Habari Wakuu Naomba kuuliza AFISA MAUZO husomea Combination Gan Kwa level ya advance
  9. Balqior

    TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

    Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
  10. Dabil

    Vigezo gani kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi?

    Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba? Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3, Azam 1 Kagera Sugar 0 Azam 2 Singida Big Star 1 Yanga 0 Azam 1. Mechi za Simba Pamba 0 Simba 1 Simba 4 KMC 0 Mashujaa 0 Simba 1 Azam mechi 3...
  11. Dilan

    Ndoto hizi zina maana gani?

    Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
  12. G

    Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
  13. Jumanne Mwita

    Ukiwa unachagua shule ya msingi kwa ajili ya Mtoto wako unazingatia vitu gani? Ukiachana na performance ya Taaluma?

    Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa mtoto wangu mwenye umri wa miaka 7 anayetarajia kuingia darasa la 4 mwakani lakini ninampango wa...
  14. Burure

    Kama Taifa Tunampango gani?

    Tumeona leo Gridi ya Taifa ikipata hitilafu na baadhi ya mikoa mingi ikikosa umeme Swali ni je, TANESCO ina mpango gani kuzuia tatizo kama hilo kutotokea tena maana kwa sasa umeme ni kitu muhimu sana? Pia,tuliona network ikiwa chini kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mitambo chini ya maji...
  15. ngara23

    Huwa unatumia mbinu Gani kumuomba mwenza wako msamaha

    Sisi wanaume wa Kanda ya ziwa ni kosa la jinai kutamka samahani mbele ya mkeo au watoto hata ukosee vipi na kosa liwe wazi Tunaamini kulitamka hilo neno ni udhaifu Kwa mwanaume Huwa tunaomba msamaha Kwa vitendo sio Kwa kusema na mwanamke ataelewa kabisa kwamba Kwa matendo haya naombwa msamaha...
  16. Mtoa Taarifa

    DOKEZO Maeneo mengi nchini yanaripotiwa kutokuwa na Umeme, kuna shida gani huko TANESCO?

    Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani, katika ofisi, hadi majumbani. Kutoka mitandao ya kijamii hadi vyombo vya habari, wananchi wameendelea...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  18. Faana

    Huyu ni mdudu gani?

    https://www.facebook.com/reel/464181673365101
  19. Waufukweni

    Mbinu gani zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia?

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
  20. Kyambamasimbi

    Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
Back
Top Bottom