gari la taka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Njia Panda ya Tegeta A Gari la Taka Halijapita kwa Miezi 3

    Baada ya kumsikia Rais Samia akitangaza kuwa Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana, tukaona Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila akitangaza kuanza kuchukua hatua, ikiwemo kila nyumba kuwa na dustbin. Mkuu wa Mkoa, nakuomba uzingatie pia suala la ukusanyaji wa taka katika maeneo ya Mtaa wa Njia Panda...
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hatimaye gari la taka lapita kukusanya takataka mitaa ya Singida

    Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Baadhi ya mitaa gari la taka halipiti kwa wakati, wiki ya 3 uchafu umezagaa mitaani

    Habari. Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery. Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni wiki ya tatu taka zimezagaa kwenye mitaa tu. Na ni tatizo limeanza toka mwezi wa 12 Mwaka jana...
Back
Top Bottom