gari

  1. S

    Nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia UBER/BOLT

    Nahitaji gari kwa hesabu au mkataba,,nipo dar es salaam,,.0678207562
  2. Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  3. Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania.

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  4. K

    SR 40 NOAH ..AWD DRIVE INAUZWA BEI 11M GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE

    Nauza noah SR 40 Automatic gear bei 10.5M haipungui . Gari ipo Dar es salaam Ilala/Kigamboni. ukitaka kuiona ni muda wowote Gari haina changamoto yeyete na haijawahi tumika kwenye biashara zaid ya matumizi ya kifamilia tu. ukihitaji njoo PM
  5. M

    Nauza Gari used na container

    Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
  6. 3

    Nina sh 9m nahitaji gari kati ya haya

    Habari zenu. Nahitaji anayeuza kati ya gari hizi Ani pm tufanye biashara 2007 Nissan xtrail 2005 Suzuki grand Vitara Nissan dualis
  7. Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
  8. Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  9. Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  10. Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  11. L

    Car4Sale Anayeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5 m

    Anaeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5m
  12. KWELI Video hii inayoonesha gari inayotembea ikiwa na mawe juu yake imetengenezwa

    Video inayoonesha gari inayotembea kwenye barabara iliyopo mlimani huku likiwa na mawe mawili juu yake. Mdau Shiriki kuthibitisha, je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  13. Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  14. Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Howo N7 (NX) 6x4 Truck: ni gari la mizigo la kisasa, linayotumika hasa kwa usafirishaji wa bidhaa nzito na masafa marefu. Gari hili linatengenezwa na kampuni ya HSinotruk (Sinotruk International), ambayo ni moja ya watengenezaji wakubwa wa magari ya mizigo duniani. Sifa Muhimu za howo N7 1...
  15. natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  16. B

    Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  17. M

    Gari lipi la kuchukua hapa 👇

    Harrier old model used au Toyota kluger used.. Wakali wangu ipi unaenda nayo hapa tafadhari..🔥
  18. Tatizo la gari kuishiwa nguvu kwenye milima

    Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa...
  19. Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  20. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…