Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu!
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na...
Muktasari:
Alistaafu utumishi wa umma Oktoba 2024, akapata mafao yake na kuamua kwenda jijini Dar es Salaam kununua gari. Hakufika nyumbani akapoteza maisha ajalini akiwa na mwanawe wa mwisho na rafiki yake.
Watu watatu wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Rav4...
Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo.
NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza...
JE unahitaji gari used au mpya toka katika kampuni kama vile Toyota Mercedes Benz Mitsubishi BMW VOLKSWAGEN NISSAN nk
Iwe ni gari kubwa au dogo pickup minbus nk
Beforward itakusaidia kupata gari Toka nje ya nchi Kwa Bei nafuu
0686153806 Whatsapp
Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja?
Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.Daniel Chongolo, amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Momba iliyopo katika Kata ya Chitete, akibainisha kuwa licha ya kasoro ndogo zilizojitokeza, majengo yaliyojengwa ni mazuri na yanaonesha matumizi mazuri ya rasilimali. Alisema hayo wakati wa...
Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya gari uliagiza ili kupunguza gharama za kusafirisha hizo bidhaa kwenye meli nyingine.
Unachotakiwa...
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma.
Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km.
Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe...
Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya.
Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu.
Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk.
Ndugu...
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule mwimbaji aliyekamata kila kona ya Tanzania kwa nyimbo za kumtukuza Mungu.
Bila shaka tutakusikia tena...
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi sana kubwa Ila akashindwa kujijunulia Gari , akashindwa kuoa, akashindwa kujenga.
Baada ya...
Salaam,
Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
Naona utaratibu unazidi kubadirika.
Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari.
Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.