Kibongo ukimiliki gari tu hata kama ni passo basi inahesabika 'umeshatoboa'.
Hapo sasa ndugu, jamaa, marafiki na hata serikali wanaamini 'umeshatoboa'.
mtu akiwa na shida ya uongo/ukweli jina lako ndo linakuwa pale juu ukihesabika lazima utatoa msaada kwa sababu tayari wewe 'umeshatoboa'...
https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu...
Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya?
Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming
Bidirectional
Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet.
Software yake ni 500,000...
Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima.
Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo...
Katika anga ya kisiasa na kijamii, kulinganisha nchi na gari kunatoa mtazamo mzuri wa kuelewa uhusiano wa watu na utawala. Tufikirie Tanzania kama gari kubwa linaloelekea kwenye safari ya maendeleo. Kama gari lenyewe, viongozi wetu wanaweza kulinganishwa na dereva, mawaziri na maafisa wa...
Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.
Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine.
Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents...
Engine ni 5VZ Ilichanganya oil na maji nipo hapa kwaajili ya marekebisho ya gari. Mimi ni fundi Nipo bunju b dar es Salaam karibu kwa marekebisho ya Gari yako. Pia nafukia popote ulipo
0788887129
0755539092
Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu.
Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
Habari wakuu.
Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap sana ukilinganisha na mafuta. Je, nishati hii haiwezi kua hatari kwa usalama wa chombo au hata uhai?
Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati
Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani
Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.