gari

  1. Championship

    Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

    Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika? Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita? Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na...
  2. JanguKamaJangu

    Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  3. BARD AI

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Mtunzi mashuhuri wa tamthilia ya Afrika Kusini, mtayarishaji na mtunzi Mbongeni Ngema amefariki katika ajali ya gari akiwa na umri wa miaka 68, familia yake ilisema. “Ngema alifariki katika ajali mbaya ya gari alipokuwa akirejea kutoka kwa mazishi aliyokuwa akihudhuria Lusikisiki huko Eastern...
  4. Annie X6

    Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  5. Candela

    Gari za umeme pasua kichwa gharama za uendeshaji

    Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage. Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
  6. Corona2020

    Engine ya gari kutoa sauti Kali unapopita kwa speed Kali kwenye rasta

    Heri ya Christmas na mwaka mpya. Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed. Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed. Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali. Je...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Fungua (Unlock) radio ya gari lako iliyojifunga na CarRadio Unlock Solutions

    Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako. Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako. Karibuni. Ni sisi CarRadio Unlock Solutions.
  8. GoldDhahabu

    Iweje ng'ombe auzwe kwa bei inayozidi ya gari la kifahari?

    Ukiwa na bilioni tatu, utanunua gari lipi la kifahari? V8? Range Rover? Mercedes Benz S Class? Nimeyataja hayo magari kwa kuwa ninayapenda. Na kama wewe ni mpenzi wa magari tajwa kama mimi, unaweza kuyapata yote ukiwa na bilioni tatu, na bado ukabakiwa na chenchi. Kama kwa hela hiyo unaweza...
  9. Bulamba

    Ushauri katika kuuza gari lililo na msamaha wa Serikali

    Nilinunua gari mwaka 2008. Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo.. Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa. Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008? Je sheria inaruhusu kuliuza?
  10. BARD AI

    Hivi kwanini baadhi ya gari za 'Patrol' zinatolewa Plate Number na Askari wake hawatoi Vitambulisho?

    Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana. Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
  11. R

    Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

    Haya mambo ya sikukuu haya!! Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...
  12. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  13. Dr Matola PhD

    Car4Sale Nauza Gari Kali, Jeep WRANGLER

    Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018. Registration T 127 CUA Make: Jeep Model: WRANGLER Body type: Station Wagon Colour: Green Year: 2018 Fuel: Diesel Price: 65,000,000/=
  14. Mto Songwe

    U.S-CHINA Tech War: Utawala betri za gari za umeme

    US-China tech war escalates over EV battery dominance Rita Liao Mon, 11 December 2023, 10:05 am GMT+3·3-min read Image Credits: Chesky_W (opens in a new window) / Getty Images Semiconductors have in recent years become a focal point in the U.S.'s efforts to impede China's technological...
  15. Jaji Mfawidhi

    Gari hizi usisafiri nazo Mkoani: Usifanye haya, Tanganyika inakuhitaji.

    Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo wanavyyomuita. . Ajali nyingi kipindi hiki na hasa watu wanaotoka Dar kwenda mikoani. Sababu za ajali ni pamoja...
  16. Balqior

    Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

    Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta...
  17. MK254

    Kubwa la magaidi ya HAMAS lilitumia gari ya misaada kutorokea Gaza Kusini

    Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi... Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on April 30, 2022. (Mahmud Hams/AFP) Hamas leader Yahya Sinwar fled northern Gaza at the beginning of the...
  18. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  19. Ezeki62

    Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  20. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
Back
Top Bottom