Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari.
Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
Karibu Afrika.
Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.
Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.
Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
Habari za masiku wakuu bila shaka mko salama, hakika kwanza nakiri kupotea hasa kwa wale waliokuwa wanafaidika na makala zangu kuhusiana na elimu ya magari, Mambo yalikuwa mengi na changamoto za maisha lakini kikubwa ni uzima na tupo pamoja tutaendelea kupeana elimu pale unapopatikana wasaa...
Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsha Mohamed amekabidhi gari la wagonjwa lililotolewa na Serikali ambalo...
Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara.
Hayo yamebainishwa...
Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni!
Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera!
Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license!
Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile!
Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki!
Sasa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda Mahakama ya Wilaya Butiama ikiwa ni pamoja na kuwarudisha ili wapate haki yao.
Sagini alitoa maagizo...
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Michael Sichalwe mara baada ya kumalizika kwa Bunge Novemba 2023 alipokea gari la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba.
Gari hilo la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba, Condester Sichalwe alilipokea kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Matumizi ya vileo - hii sio rocket science, inajulikana ulevi unapunguza umakini barabarani.
Matumizi ya simu za mkononi hasa ya mara kwa mara - mtu anaendesha huku anachat WhatsApp na kujibu watu s'time kwa text. Hii sio salama kwako na watumizi wengine wa barabara.
Kuendesha kwa mazoea -...
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa.
Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam
Whatsapp/ normal call +255626682228
Habari
Tunaongozwa na sheria zilizo expire muda wake!
Iko haja sheria ya usalama barabarani ifanyiwe marekebisho kwani ilitungwa zamani enzi hizo Tanzania hatukuwa na barabara za lami na magari ya kutosha!
1. Siyo kila zebra lazima mwenye gari asimame hata kama hakuna mtu,
lakini baadhi ya...
Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan
MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni...
Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao.
Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya.
wakukurupuka1
Wengi wenu mnaendesha utafikiri mna hatimiki ya barabara. Hamjali si tu usalama wenu lakini kwa vitendo vyenu mnahatarisha usalama wa wengine waliopo barabarani.
Kama mmejichoka kumbukeni sisi bado tunapenda kuishi na kuenjoi ugali.
Mwenzenu mmoja katukosakosa leo asbh apo kwenye kona ya gari...
Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu.
Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe.
Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe.
Labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.