gari

  1. Ghost MVP

    Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  2. Mjanja M1

    Video: Dereva wa Gari la Serikali asababisha Ajali akiwa amelewa

    Dereva wa Gari lenye namba za usajili STL 8852 akiwa kwenye hali ya ulevi amesababisha ajali kwa kumgonga Dereva wa Pikipiki. ANGALIA HAPA VIDEO Nini maoni yako? Written By Mjanja M1 ✍️
  3. peno hasegawa

    Gari za serikali Sasa nimekuwa zikiendeshwa na waliolewa?

    Hii gari ni ya serikali! Ni la idara Gani au wizara Gani?
  4. sanalii

    Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

    Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo. Nataka ninunue hata used ya 10M. Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M. Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa.
  5. Cecil J

    Tukifika kwenye number plate G nanunua gari, kwasasa sitaki tumia herufi yoyote ile

  6. Mjanja M1

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo. Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd. Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake . Video...
  7. ndege JOHN

    Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
  8. kocha Nabi

    Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  9. zachaja

    Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
  10. JituMirabaMinne

    Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  11. Mjanja M1

    Aokota Gari kwenye Mafuriko Dar

    ANGALIA VIDEO HAPA Magari yamesombwa, nyumba zimesombwa, baadhi ya Watu wamebebwa juujuu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na kusababisha maafuriko katika baadhi ya maeneo ikiwemo Tegeta na Kunduchi. Baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wameomba Serikali...
  12. Sa 7 mchana

    Kubambikiwa fine ya gari ambayo huifahamu. Ajabu imetolewa mkoa ambao gari haijawahi kufika

    Kuna hili limetokea, gari dogo baada ya kusimamishwa na traffic likaoneka lina deni. Kuagalia vizuri fine(madeni) zote zimeandikiwa mkoa wa Dodoma ikiwa gari dogo halijawahi kufika Dodoma, lipo Morogoro. Makosa hayo ni kuzidisha abiria, maana yake ilitumika kukusanya maokoto. Wataalam naomba...
  13. peno hasegawa

    DOKEZO Waziri wa Madini gari hii Toyota Land cruiser STK 327 inatumika vibaya kuokota Rushwa na kuwanyanyasa wachimbaji wadogo Chunya

    Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu. Bosi wa Tume ya madini Chunya...
  14. shanature

    Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

    habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja. Ila wasiwasi...
  15. Expensive life

    Kama haulipwi mshahara wa 6 million kwa mwezi usinunue gari

    Mwanahabari nguli hapa nchini, Jenerali twaha ulimwengu amewaasa vijana kuacha mara moja kununua magari kama hawana kipato cha million 6 kwa mwezi. Mwanahabari huyo ameainisha kuwa, Nimepata feedback kwa vijana wanasema wakiwa na kipato cha million mbili wanaweza kununua gari. Tatizo hapa ni...
  16. M

    Nifafanulie formula atakoyotumia nabii au mtume kunifanya mimi mwenye mshahara wa 1,500,000 nijenge au ni nunue gari

    Amani iwe kwenu, Kumekuwepo na maneno mengi juu ya miujiza inayofanywa na wachungaji ,manabii na mitume kuwa, wanaweza kufanya miujiza ukabadilisha maisha yako mfano ukapandishwa cheo kazini, ukajenga ukapata mtoto na hata ukanunua gari. Mnaowaamini hao mitume na manabii leteni ufafanuzi...
  17. Peter_John

    Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

    Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
  18. profesawaaganojipya

    Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  19. D

    Ufanye nini gari yako inapofeli breki?

    1) Ondoa mguu wako kwenye accelerator na Washa taa za dharura (hazard lights) 2) Pump (kwa kukanyaga na kuachia) pedal ya breki kwa haraka haraka 3) kama ulikuwa kwenye gia kubwa ipeleke haraka kwenye gia ndogo (lower gear). (Kama gari Yako ni automatic, toa gia kwenye D uipeleke kwenye S au...
  20. Roving Journalist

    Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
Back
Top Bottom