Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee, huyu mjknga huyu daa!
Pesa ni za wife za mauzo ya leo dukani kwake pale...
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.
Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.
Naogopa asije akatafuna nyaya...
Wanaukumbi.
MLIPUKO KATIKA ISRAEL
Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam.
Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea.
Watu wana test mitambo...
Wananchi wa Kijiji cha Kambai, kilichopo Kata ya Kwezitu, Wilaya ya Muheza, Mkoa wa Tanga, wamewasha moto gari la Afisa Kilimo wa Kata ya Tongwe jirani, aina ya Suzuki, na kumjeruhi.
Wanaoshutumu afisa huyo wanadai kwamba ameshindwa kusimamia maslahi ya wananchi, hivyo kuruhusu wawekezaji...
Mwanzilishi wa shirika la kutoa misaada ya chakula la WCK, Jose Andres amesema kuuliwa kwa wafanyakazi wa shirika lake ilikuwa ni kitendo cha makusudi kilichofanywa na jeshi la Israel.
Katika mahojiano aliyofanya na redio moja ya Israel mwanzilishi huyo amesema magari matatu yalikuwa yakitoka...
Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona?
Naomba picha nilione na mie
Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia.
Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.
Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.
Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.
Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa.
Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi
Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
Habari za mida hii wanajf.
Kama kichwa kinavyosomeka.
Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta kwenye bei ya gari ni Tsh. 5,000,000/- na kwenye bei ya jumla sehemu ya Clearing & forwarding kwa port ya...
Waandishi wa habari wawili kutoka mkoa wa Lindi wamefariki Dunia baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi kupata ajali majira ya saa 7 za usiku wa kuamkia March 26, 2024 eneo la Nyamwage mkoa wa kipolisi Rufiji, mkoani Pwani.
Waandishi waliofariki ni Abdallah Nanda...
Wakuu.
Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele?
Ni kweli tatizo linaweza kua gari lenyewe, miundombinu yetu, mmiliki/dereva, hali ya hewa na sababu...
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho
Tuko watu 3 na mizigo yetu
Tunaitaji gari la kutupeleka Tu
Mtu ambae Yuko interesting please nipm
Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani.
Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.