UTANGULIZI
Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
Wakuu,
Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.
Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu.
Mahali mwanza Jiji
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.
Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua designed na aliens. Yaani sio za generation hii kabisa.
1. Toyota Will VI
Hili gari nikiliona uwa...
Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri..
.
Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake.
Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana yake ikakamatwa na madalali.
Hiyo gari yake imeuzwa bila yeye kupewa taarifa ya mnada, anakuja...
Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili.
MADA
Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba ikiwa alinunua gari milioni 100 hashindwi taa ya 1.5 m. Baadhi ya magari ni ya bei ya kawaida 15-30...
Wakuu kwema.
Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika.
Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine
Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa.
Uamuzu huo ulofikiwa...
Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee.
Graphite mfumo wake:
Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite:
Muundo wa...
Hii ajali imetokea tarehe 11-4-2024 Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa na trafick sehemu hatari isiyo ya ukaguzi kukiwa na utelezi na ukungu kwa ajili ya ukaguzi usio rasmi, hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo,Poleni...
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan.
Funguka Mkuu..!
Gari lazama baharini Zanzibar
Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo
kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
Wakuu habari.
Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue.
Vipi gharama ya engine na gear box pamoja na essentials zingine zote zinaweza kuwa TSH ngapi?
Nahitaji gari la shamba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.