Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...