Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat, Billnass alionesha zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kufikia kuhitimu...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao.
Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa...
Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. Pia unaweza follow instagram Page yetu kwa handle ya 👉🏾( @tunauza_we_sell )...
Mkuu wa wilaya ya Karagwe Kalanga Lisser,amedhibitisha kutokea ajali ,katika eneo la Kiyanga wilayani humo.
Dc Kalanga,ameongea na kasibante radio Bukoba,ambapo amesema kuwa kwa sasa hawezi dhibitisha vifo ni vingapi na majeruhi ila ajali ni mbaya.
Amesema kuwa roli likiwa limebeba...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari.
Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA.
Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana Yusufu Lukuwi (mtoto wa Kidulile), alipoona wananchi wamechachamaa, alitoa taarifa Wilayani, na...
Wakuu habari,
Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana.
Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho
cc 1490
Bei ni m6 inapungua kidogo
No 0715568585
Usajili no DHD
2WD
gari ni automatic
Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi,
Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi?
Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
Ilikuwa ni Nissan Civilian number C inayopiga ruti za Mbezi Mlandizi... Jana asubuhi mitaa ya Kibada ndio ilihitimisha safari yake hapa duniani kwa ajali ya moto.. Ilikufa kwa maumivu na upweke mkubwa bila msaada wowote
Wananchi walikuwepo.. Askari waliwepo.. Lakini wote walikuwa wamesimama...
"Wakubwa habari ya muda huu,Mimi binafsi naomba kupata elimu zaidi kuhusu gari aina ya SUBARU FORESTER TA SG5 2006/2008", hasa uzuri,na changamoto zake
Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake ,
Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato,
Hizi ni...
Potelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi.
Yaani million 2.4 ina maana bado laki kama 26 tu mbona hizo nafikisha wakuu. maana kama kila mwezi...
Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express.
Tanzania bado sana aiseee
Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
"Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simu🤭
.
.
.
.
Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.
Wakuu mko njema?
Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏
Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi
Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.