Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye ametoweka kwa siku 13 katika mazingira ya kutatanisha.
Akizungumza na Wasafi Media, mama mzazi wa...