gen z kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni ngumu sana Gen Z kushinda kwani majeshi yote yapo upande wa serikali

    Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi Polisi, TISS na JW wote ni majeshi ya CCM na serikali yake hamuwezi shinda kwa namna yoyote ile
  2. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z: Oktoba 29 hawa wazee watatueleza imekuaje kuaje hadi nchi imeuzwa

    Wakuu tuliwekaje hili jambo kwanza kwa hawa wazee ambao walikuwa wanatazama tu nchi ikiwa inapigwa mnada? Tupite nao tu au tuwasamehe sisi tukomae na hayo mabeberu na hawa wazee wa ufafanuzi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Gen Z wote na wanavyuo. Onyesheni hasira kwa Gerson Msigwa kwa kujaribu kuwageuza nyinyi kuku wa kizungu

    Salamu kwenu Gen Z na wanavyuo wote. Baada ya salamu nachukua fursa hii kuwaandikia barua ya uwajibikaji wa kiraia. Msemaji wa serikali bwana Gerson Msigwa ametoka hadharani katika vyombo vya habari huku akifura, akijawa na vitisho kwenu eti msicomment watawala wasiyoyataka mitandaoni. Hii ni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya walishajikatia tamaa ya maisha na kupoteza matumaini ndio sababu ya kujawa na mihemuko na kukosa adabu na Hekima

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kutoa Kenya ni vijana waliojikatia tamaa ya Maisha ,ni vijana waliopoteza Matumaini ya kila kitu. Wanaishi mradi kumekucha ,wanaishi mradi jua limechomoza . Wanaishi Maisha ya bora ya jana kuliko ya leo. Ndio sababu ya kuona wakifanya mavurugu ya kila aina yenye...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bei ya Sukari Ikiwa Juu Gen Z Wataingia Barabarani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari kwa bei nafuu na kulinda viwanda vya ndani kutokana na uwekezaji uliofanyika. Serikali inavyosimama...
Back
Top Bottom