Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 15,410
- 35,923
Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi
Polisi, TISS na JW wote ni majeshi ya CCM na serikali yake hamuwezi shinda kwa namna yoyote ile
Polisi, TISS na JW wote ni majeshi ya CCM na serikali yake hamuwezi shinda kwa namna yoyote ile