Ameandika Jesse Kwayu:
WIKI iliyopita imekuwa ya harakati nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kubwa ya yote ni kizazi kinachojulikana kama Generation Z kuingia barabarani nchini Kenya ili kuilazimisha serikali ya nchi hiyo kusikiliza kilio chao kuhusu ongezeko kubwa la kodi kupitia...