tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?
Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?