PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sema basi tungekuwa na uwezo tungekuwa na uwezo Samia, kikwete na wahuni wenzao ilikua na kupiga chuma tu... Maandamano ya amani kwa hao mbwa sidhani kama yatasaidia.
 
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?
Wanaweza kufanya zaidi ya hayo ila kwa sasa hakuna kurudi nyuma tena kitendo cha kuwa wapole wakati huu ambao ndio kuna pressure kwa viongozi ni kuwapa ushindi yaani ni ni sawa na kuruhusu hali tulizonazo ziendelee ukosefu wa haki na n.k
 
  • Wakizima mitandao
  • Wakiweka zuio la kutotoka nje
  • Wakirusha risasi za moto kwenye mikusanyiko


Suluhisho ni nini???


Au ndio utaratibu ni ule ule kwa njia ile ile ,then tunategemea matokeo yatakuwa gofauti.
 
Ni heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Nilitaka nikujibu ila nimeona ukigombana na chizi na wewe utaonekana chizi ngoja nivunge..
 
Mange hajaitisha maandamano. Walioitisha maandamano ni wale walioua vijana wadogo na wasio na hatia, wanaoshikilia miili ya ndufu zetu na waliowapa watoto wetu kesi za uhaini.

Acheni upotoshaji.
Maandamano hayo, possibility kubwa yanaweza yasiwepo na funguo rasmi ya udhibiti wa umma itakuwa imerudishwa kwa serikali.

Sababu kubwa ni kuwa mpaka sasa hakuna majibu ya INTERNET BLACKOUT, MEDIA BLACKOUT, CURFEW.

Kufanya kazi kama JESHI LA NYUMBU hakujawahi kuleta mafanikio.
 
Wakuu,

Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9

Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.

Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?

Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?

Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?

Ila jmn kabla hujaleta habari fuatilia fanya utafiti,jiridhishe kwanza!
Lini mange ameitisha maandamano?
Basi ungejipa muda wa kupita huko mitandaoni hasa tiktok kwa sehem kubwa na X,uone namna vijana walivyokuwa wanapanga lini wafanye ,baada ya kukubaliana ndo huyo dada kapewa taarifa kasema yuko upande wao
Duh ,km unapenda kuleta habari hakikisha unazifuatilia vzr kabla
Wengi tulioko humu tupo pia kwenye platforms nyingine tunaona yanayojiri huko usimsingizie dada wa watu kwenye hili ye jaunga mkono walichoamua vijana
 
Mange hajaitisha maandamano. Walioitisha maandamano ni wale walioua vijana wadogo na wasio na hatia, wanaoshikilia miili ya ndufu zetu na waliowapa watoto wetu kesi za uhaini.

Acheni upotoshaji.
Exactly mtu anakurupyka tu huko kumsingizia dada wa watu
@Mods muwe mnaangalia hizi nyuzi

Mleta mada badirisha heading
 
Nadhani haya ndio yatakua maandamano makubwa ya kihistoria katika nchi hii.
 
Mtu mmoja ajitolee kunielewesha, ni kwa namna gani maandamano ya amani yanaweza kuwashurutisha watawala kuleta mabadiliko.

Yaani mnaandamana na mabango, mnazururaa weee mkichoka mnaenda kulala, kesho tena mnaamka, mnazururaa weee na mabango yenu mkichoka mnaenda kulala.
Sasa hapo watawala si watakuwa wanajisemea "Acha wabweke wakichoka wataenda kulala na maisha yataendelea kama kawaida."

Maamdamano ya kudai mabadiliko, lazima kinuke. Uharibifu na vifo, hapo ndo watawala wanapata jambajamba. Hapo ndo majeshi yanajifikiria mara mbili mbili kwamba waendelee kuwa upande wa watawala nchi iendelee kuungua au waingilie kati ili kuiponya nchi.

Hapo ndo jumuia za kimataifa zinatia pressure.

Unataka ukombozi af unaogopa kumwaga damu??

Unataka utajiri af unaogopa kutoa kafara??

Kam ni kubeba mabango tu, bora tutulie tu tukuballiane na yote, watuburuze, watuteke, watuue watuibie mali na kodi zetu sisi tutulie tu turidhike.
Eti maandamano ya mabango..pumbavuu
 
Hakujawahi kutokea maandamano ya amani yanayoitaka serikali itoke.
Ili serikali itoke ni lazima kiwake.
 
Hakuna Cha Maridhiano, Yoyote atayeleta Uchawa wa Maridhiano huyo atasalimiwa Dec 9 .

Na kama CHADEMA mtaleta wa Maridhiano, TITAANZISHA KAMPENI YA KUCHOMA KADI ZA UANACHAMA TANZANIA NZIMA. TAKE THIS VERY VERY SERIOUS !!.

Wakatoliki nyinyi ni walezi wa Kiroho , Ila katika hili la MARIDHIANO , TUNAWAOMBA NA KUWASIHI SANA MTULIE ,MAUMIVU TULONAYO HAYABEBEKI.

ASIONEKANE MTU AKAWA MSALITI KWA KUJIFANYA NI MWANA MARIDHIANO.

GENGE HILI LA WAHUNI, HALIONDOLEWI KWA MARIDHIANO.

NDUGU ZETU WALOULIWA ,WAMEKWENDA JUMLÀ.

👉 MH POLEPOLE ALISHALIMALIZA HILI NA KAMWE HALITABADILISHWA , HAKUNA MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI HAKUNA HAKUNA !!.

NA HUENDA ANGESHUHUDIA MAUAJI HAYA YA KITAIFA MH POLEPOLE ANGESEMA ,WATANZANIA INGIENI MISITUNI.

Walipotuua, walituita Wageni wa Nje ya Nchi
Muliro mmemsikia juzi kasema video zile ni AI.

Sio tu wanafurahia Kuua, Bali Wana Dharau na Roho za Watanzania

👉NITOE RAI KWA WATANZIA WOTE, DEC 9 ni maandamano makubwa sana, na Tumejifunza tayari kua Uwezo wao ulikua ni Risasi za Moto, HILI HALITOTOKEA TENA UPANDE MMOJA.

Tunafaham, Wako njiani kutuita VIKUNDI VYA KIGAIDI, WAASI na majina kama hayo ili kutifanyía Demonization kuhalalisha matumizi Yao ya SILAHA.

HamuweI KUUA Watanganyika namna hii alafu mtembee kifua mbele , HAIWEZEKANI.

MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI, YALIKWISHA KATALIWA NA MZALENDO WETU MH POLEPOLE NA HUO NDIO MSTARI !!.
 
Back
Top Bottom