PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Si ndo aliwaambia wale Nyumbu vibaka wazee wa kupora mali za watu na kuharibu kuwa jeshi liko upande wao na wakitoka kufanya huo uhuni wataichukua Nchi saa 4 Asubuhi? Vipi mlifikia wapi?
 
Endelea tuu kupigania mfumo wa utekaji, mauaji na wizi wa kura, ila soon or later wewe au watu wako mtakuwa victims wa huo mfumo ,guaranteed
 
Wakuu,

Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9

Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.

Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani tena watapigwa risasi za vichwa kama wanyama wa Selous?

Hivi kwanini Serikali tu isitoe hizo reforms na wakaleta upya Uchaguzi watu wachague viongozi wanaowataka?

Kwanini wasiahidi watafanyia kazi demands za wananchi. WHY? WHY? WHY? Wale wa Zenji wanaoua watu watarudishwa mitaani? Na wale Waganda?

🤣🤣 mtu unakaaje unaambiwa nenda kapigwa shaba na kiumbe anakaa marekan na wewe unakubal
 
Ropoka tuu, sitashangaa ukiishia kuwa victim wa mfumo unaoutetea

Ni heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Maneno Yako yameegemea katika maisha ya mtu binafsi kama kumuita kahaba nk ila ingeleta maana kama ungejibu hoja zake maana tunapoelekea kama nchi tunahitaji majibu ya hiki kinachoendelea na sio mipasho
 
🤣🤣 mtu unakaaje unaambiwa nenda kapigwa shaba na kiumbe anakaa marekan na wewe unakubal
Hilo profile lako na shati la CCM ililopewa bure ndio akili yako ilipoishia, ndio maana nchi njaa tupu, CCM ni laana
 
Ni heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?

Ni sawa na wewe ambaye kichwa chako kipo ndani ya choo cha shimo, matko yako yapo nje, yakiwa yamezungukwa na nzi.
 
Ni heri vijana wajinga na wapumbavu wote waishe.
Kama mtu mwili uko Tanzania lakini kichwa kiko mfukoni mwa kahaba huko USA kuna haja gani serikali kuridhiana na huyo kijana?
Bora yeye kahaba wa kisiasa USA kuliko wewe kahaba wa mwili halafu unauzia huku maporini kusiko na sheria za kukulinda na ukahaba wako..!!
 
Misukule yake itajitokeza kupambana na polisi wenye silaha matokeo yake ni misiba kwenye familia zao.
 
🤣🤣 mtu unakaaje unaambiwa nenda kapigwa shaba na kiumbe anakaa marekan na wewe unakubal
Wewe ni taahira, kama sio taahira basi unafaidika na mfumo. Hoja tunazoandamania zimeimbwa hadi kiziwi kazisikia, kwa nini unakuwa taahira?
 
kuchoma moto mali ndo hoja si ndio?
 
Acheni kumsingizia mange, walioitisha maandamano ni ccm wenyewe. Mange anawasapoti tu.
 
Back
Top Bottom