Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
UNajua kwanini serikali ya Zanzibar inaitwa serikali ya mapinduzi???Mapinduzi siyo!!?..tutakuwepo,asijilize mtu na kujitilisha huruma baada ya mkong'oto,atakayepigwa hakuna kulia
UNajua kwanini serikali ya Zanzibar inaitwa serikali ya mapinduzi???Mapinduzi siyo!!?..tutakuwepo,asijilize mtu na kujitilisha huruma baada ya mkong'oto,atakayepigwa hakuna kulia
Umoja wa kuibia nchi ufisadi ulikomaaAsiyetaka umoja nani kama siyo nyinyi,tulizeni vinyeo,mtapasuka
Gaddafi alijaribu hiyo akawekewa no flying zone,na kuna pimbi anakaribia kujaa kwenye mfumoMapinduzi siyo!!?..tutakuwepo,asijilize mtu na kujitilisha huruma baada ya mkong'oto,atakayepigwa hakuna kulia
Maandamano Halali ni yapi?Katika vitu ambavyo GenZ mnafeli ni kushindwa kuficha mikakati yenu. Kila kitu mnakimwaga mtandaoni. Unadhani serikali itakuwa imelala hadi muidhibiti Ikulu na bunge? Tena safari hii ndo hakutakuwa na huruma kabisa endapo mtathubutu kufanya hayo maandamano haramu.
Wazalendo kwenye vyombo vyote muhimu walikuwa upande wao.wenzenu burkinabe hawakua na makelele kama yenu
Viongozi wa serikali, vyombo vya ulinzi, usalama, polisi, jeshi walikuwa upande wa raia.wenzenu burkinabe hawakua na makelele kama yenu
Pole sana kama unaiona dunia kwa picha inayochorwa na vyombo vya magharibiGaddafi alijaribu hiyo akawekewa no flying zone,na kuna pimbi anakaribia kujaa kwenye mfumo
Viongozi wa serikali, vyombo vya ulinzi, usalama, polisi, jeshi walikuwa upande wa raia. Ndio maana Kapteni wa miaka 38 ni rais.
Pole sana kama unaiona dunia kwa picha inayochorwa na vyombo vya magharibiGaddafi alijaribu hiyo akawekewa no flying zone,na kuna pimbi anakaribia kujaa kwenye mfumo
Umoja wa kuibia nchi ufisadi ulikomaa
Hukuna umoja na wezi wa kura na wauwaji
Lazima tukatae uhuni kwenye nchi yetu
Fisadi mamvi si aliwanunua kwa 12b mkampa tiketi ya kugombea,tuwaamini vipi kuwa mnachukia ufisadi?Umoja wa kuibia nchi ufisadi ulikomaa
Hukuna umoja na wezi wa kura na wauwaji
Lazima tukatae uhuni kwenye nchi yetu
Bi zawadi mzalendo,uliza maswali ya msingi na so ya kicengecengeUNajua kwanini serikali ya Zanzibar inaitwa serikali ya mapinduzi???
Na tupo kwenye mpango wa kupata C4 Plastic explosive,,,yaani 09/12 kitanukaNi kweli au
😄😄😄 siri za vita mnavujisha.. msije kulaumu baadae na kuanza kuililia ICCNa tupo kwenye mpango wa kupata C4 Plastic explosive,,,yaani 09/12 kitanuka
Mtakufa wengi tu na CCM itabaki hapo hapo. Mabadiliko hayawezi kulewa na malaya alie america.Lazima tuende kwenye maandamano, ila tujiandae bebeni kila aina ya silaha ikiwezekana tuwanyang'anye silaha zao tutumie dhidi yao. Wataendelea kututeka na kutuua. Hatukubali, Tanzania leo tutakuwa na rebel group na hatutaogopa. Liberia ilianza hivi hivi kwa sababu ya upumbavu wa mtu mmoja, Mwishoni tumeona Doe aliondoka, Taylor aliondoka. Tukiendelea hivi hivi, Samia na Abdul wataendelea kututeka mmoja mmoja, kututesa, kutubaka, kutufira, kutupa maiti zetu baharini. Hatuwezi kuuliwa na pyschos. Tupiganie hadi mwisho, la sivyo tutaendelea kuuawa.