Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume.
Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
Uzi wenyewe ulikuwa ni huu..."Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu"
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa?
Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha kwa Alama Tano tulishindwa Kuwakuta je, leo tumebakiza Mechi Sita ndiyo tunajidanganya kuwa...
GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla.
Ni hayo tu kwa leo.
Kiukweli huyu jamaa anamvuto flani hivi ambao huwezi kuuelezea. Namna yake ya uandishi na uwasilishaji wa anachokiamini huwavutia wengi.
Nadhani isingekuwa sheria za JF za kulinda faragha huyu jamaa ndio angekuwa the highly valuable asset kwa humu JF. Sifa yake ya pili anajua mambo mengi jambo...
Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini...
Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi hakuna wakazaji sasa kama kule.
Hongereni. The Future is Bright.
Asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa Talanta Kubwa ya Kujitengenezea Mjadala na niwe Mjadiliwa Mkuu wa Matukio Kinzani hapa Jamiiforums.
Watu tokea Saa 4 Kamili Usiku huu baada ya Mechi ya Yanga SC na Club Africaine kumalizika Akili zao zote zilikuwa ziko Jamiiforums na hasa hasa Kwangu Mimi...
Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu.
Cc: Ulimakafu
Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu.
Wengine jipangeni Wenyewe.
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
Upo Uwezekano leo Predator (hata Henock Inonga ) anamjua Fiston GENTAMYCINE Kalala Mayele leo akafunga kati ya Goli 3 au 6 na wakizubaa hata 9 peke yake dhidi ya Zalan FC Jioni katika Mechi yao Marudioano.
Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka...
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza.
Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa walitoka huko.
Nadhani JamiiForums nzima hakuna asiyejua kuwa GENTAMYCINE Mimi ni Simba SC 'lia lia'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.