gentamycine

  1. Superbug

    Hatimaye memba pendwa wa jf gentamycine aanza kupevuka kiakili.

    Memba anayependwa na wakati huohuo uonewa wivu GENTAMYCINE ameanza kupevuka kiakili maana nyuzi anazoweka jf sasahivi ni konki na fikirishi kinoma. Nachukua nafasi hii kumpongeza kwa kuanza kujua kiakili. Heko popoma letu. GENTAMYCINE
  2. KAGAMEE

    Kwako Mightier, toka mafichoni uje unijibu maswali yangu

    Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba kucheza na timu yeyote wewe unaleta chambuzi zako uchawara hasa ukiituhumu Yanga kufanya figisu kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Yaani mpaka GENTAMYCINE 'awachokonoe' ndipo mkubali na muanze kuchukua hatua ya Kumtibia Kijana vizuri?

    Imeelezwa kiungo Mapinduzi Balama anatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi ya majeraha yake Balama amekuwa nje ya uwanja wa miezi sita sasa akiuguza majeraha aliyopata mwishoni mwa msimu uliopita Pamoja na kuelezwa hali ya nyota huyo ilikuwa ikiendelea vizuri...
  4. GENTAMYCINE

    Sijui ni kwanini GENTAMYCINE huwa sina bahati ya Kupenda Vibovu Vibovu, bali nimebarikiwa tu Kupenda Vizuri kama Vifuatavyo....

    1. Rais bora Kwangu Paul Kagame ( Rwanda ) 2. Mtandao bora Kwangu JamiiForums 3. Timu za Mpira bora Kwangu Simba SC ( Tanzania ), Liverpool FC ( UK ), FC Barcelona ( Spain ), PSG ( France ) na Bayern Munich ( Germany ) 4. Vyuo Vikuu bora Kwangu Saint Augustine University of Tanzania...
  5. GENTAMYCINE

    Uchaguzi 2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

    1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania 2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini 3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani 4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda...
  6. Matojo Cosatta

    Uchaguzi 2020 Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutengua uteuzi wa Wagombea Udiwani utasababisha uchaguzi wa Madiwani wengi kubatilishwa na Mahakama

    UAMUZI WA MWISHO WA KUTENGUA UTEUZI WA MADIWANI ULIOFANYWA WA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI UTASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI KUTENGULIWA NA MAHAKAMA. Karibu maamuzi yote ya Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (Assistant Returning Officers) kutengua uteuzi wa wagombea udiwani wa vyama vya siasa...
  7. Superbug

    Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

    Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu. Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu. Mfano Charismatic fella Pure talented Entertainer Game changer Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni...
  8. Superbug

    Getamycine aja na kali (mrithi mwandamizi wa upumbavu Tanzania)

    Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA) Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA Mfano Serikali inapiga kelele kuhusu korona wewe hujali as if HAKUNA kitu ukiwa hivyo ujue wewe ni...
  9. Superbug

    Gentamycine is on again jf kuchele

    Yule kijana mwenye makeke mengi kuliko wote humu jf amerudi Tena baada ya mapumziko ya lazima ya mwaka mpya Sasa naamini jf itachangamka Tena upyaaa ukiwa na stress nenda kamsemee hovyo mzee kijana gentamycine matusi utakayopata stress zitakwisha . Pia naamini wale waliodhani Mimi ni mzee baba...
  10. M

    Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, karibuni tujadili bila upendeleo wala chuki yoyote. Mfano inajulikana wanafunzi wengi wanaosoma University of Dodoma ni wale ambao alama zao hazikutosha kusoma University of Dar es salaam n.k hivyo kujikuta wanaangukia kwenye kapu la Udom. Vivo hivyo...
  11. Malisa Godlisten

    Kwanini Serikali inaogopa wachunguzi wa Kimataifa?

    Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
  12. neo1

    Tetesi: Russia imeingia Libya

    Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito, Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa kutoa mafunzo.. pia kuna kambi kubwa mbili huko Tobruk na Baghaz pia inaaminika siraha na...
Back
Top Bottom