gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kipo nyuma ya Mzungu John Robert Maitland, alifungwa Tanzania miezi 6 lakini bado yuko Gerezani Segerea zaidi ya miaka 10?

    JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera. Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
  2. R-Kelly na Vibaovipyaakiwa gerezani nivya kujutia!

    NimesikilizaVibaovipyavya mwanamzikinguli R-Kelly aka ROBERT KELLY ameshusha nyimbo mpya na nzuri ila zote ni zakumtukuza Mungu na kujutia ila ni nzuri sana! Msikilize Hapa Toa Maoni yako ila mimi nimemuonea Huruma namuombea Trump amfungulie kama ambavyo wamarekani wamekuwa wakiomba atolewegerezani!
  3. Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
  4. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  5. Hivi magereza yetu hayawezi kuboreshwa walau mara 1 kwa wiki wanandoa wakawa wanakutana na wapendwa wao hukohuko gerezani?

    Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela. Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule. Huenda unajua kabisa kuna baadhi ya jamaa zetu wako kule wamefungwa isivyo halali either kwa kusingiziwa nk na...
  6. Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
  7. WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
  8. Nigeria: Aliyemtukana Mungu ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani

    Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka 2020. Mubarak alikamatwa Aprili 28, 2020, kwa tuhuma za kukufuru dini na uchochezi kutokana na...
  9. Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

    Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki. Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala. Source: SABC
  10. Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

    Jamani Lisu ni hazina ya taifa, Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania. Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais...
  11. Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila

    Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila. Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
  12. Shyne: "Nilidhani Diddy atanipata $10million kwa kuspend miaka 10 gerezani kwa ajili yake ila nilishangaa yeye kuni offer $50,000"

    Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake" Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa kusema ukweli kwa kile kilichotokea kupelekea mauaji ya jamaa huyo alipokuwa kiziuzini. Aliamua kuchukua...
  13. S

    TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

    Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
  14. Uzushi unaolenga kuwarejesha gerezani viongozi wa CHADEMA

    Habari wanaJukwaa Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
  15. I

    Meneja BRT : Mradi wa Mwendokasi Mbagala-Gerezani umefikia 99%, kukamilika

    Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (BRT II) ukifikia asilimia 99 ambapo kwa sasa wako katika hatua ya mwisho ya...
  16. Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

    Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 4...
  17. Mpaka lini Kariakoo, Gerezani pataendelea kukabiliwa na mafuriko?

    Hichi kipande kimekuwa changamoto kila mvua inavyonyesha miksa machemba kufumuka kinyesi maji ni usawa wa nyonga. Jamaniii leo nimeshuhudia sononeko kubwa sana. Mtaa wa vifungashio ule nyuma ya pemba ni balaa mpaka vifuniko vya chemba vinaelea. Kariakoo ni mkoa wa kikodi kwanini miundombinu ya...
  18. Aliyelikimbia Jeshi la Uganda (UPDF) atupwa gerezani miaka 35, mwingine afukuzwa kazi kwa kujipa likizo ya miaka mitano

    Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia). Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda (UPDF). Mmoja wa wenzake ameukuzwa kutoka kwenye Jeshi baada ya kupatikana na hatia ya kutokuwepo...
  19. F

    Ikitokea upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, sabuni ikakudondoka, achana nayo usiiokote

    Ikitokea umefungwa, upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, bahati mbaya sabuni ikakudondoka, Achana nayo usiiokote. Utakuja kunishukuru baadae.
  20. KERO Niko Gerezani dakika 20, hakuna basi la Mwendokasi hata moja

    Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri. Kwa hali hii, serikali iruhusu daladala kama kawaida kwa zile route ilizoondoaga daladala kama Kimara hadi Gerezani na Kivukoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…