Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD
Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza
Hali ya sasa ilivyo sasa
In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au usiende banda Umiza !
Siku hiyo ndiyo siku ambayo GSM anakwenda kuchukiwa kuliko siku zote tangu Dunia...
Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo elimu sio kipaumbele hata ukiangalia hapana chuo kikuu chochote baada ya mwendazake kufungia chuo Cha...
SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA
Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na kupanga mipango inayoeleweka? Haikuundwa kamati ya kushughulikia ujio wa wageni na kama iliundwa...
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena.
Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma.
Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
Hii imenitokea mara kadhaa.
Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana.
Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena.
Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko...
Habari wataalamu.
Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu.
Je nini tatizo? na Suluhisho?
Ahsante sana kwa msaada wenu.
Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
Wakuu
Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport
==
Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
Tundu Lissu ni mwanasheria makini na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu. Lakini natilia shaka kama yeye ni mwanasiasa mahiri na pia sijui kama yeye pia anajua nafasi yake aliyopo kisiasa.
Wengi wetu tunajua kuwa tangu mwaka 2005 CHADEMA kwa mara ya kwanza kusimamisha mgombea uraisi, CCM...
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do.
Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
Je, ni....
1. Ahadi ya Mola
2. Kafara la Kundi
3. Dally Kimoko Virus
4. Kurogana / Kupigana Vipapai
5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.