Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda?
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka.
Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒
Mungu ibariki Tanzania.
Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi mtarajiwa: baada ya utambulisho wakaanza kupiga makofi, wakaanza kuimba
"Uyo mtotooooooo, uyo...
Gerald Hando live hajaweka makeup msibani kwa Dida,niseme amezeeka ghafla.
Naamini ni uchungu wa kufiwa na mke ,upweke unamzeesha.
Ukifiwa na mke usikae zaidi ya miezo sita bila kuoa,sonona itakumaliza
Habari wanaJF,
Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano.
Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Nitashukuru sana kama Machawa Wao Gegedu wakija hapa kutuelimisha Sisi tusio na uelewa wowote.
Angalizo.
Nimesema Marais wa Tanzania na si lazima awe wa sasa au wale waliopita.
Imeisha hiyo......!!
Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA
Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi.
Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni...
Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo......
1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza.
Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani...
Hivi karibuni nilinunua simu ya google pixel 4xl ambayo nimeitumia Kwa takribani miezi 5 then ilizima ghafla na ever since haijawaka tena despite kujaribu kuipeleka Kwa mafundi mbalimbali wa simu, huko nimekuta kwamba hili ni tatizo sugu Kwa hizi 4xl ,yaani ikizima ni matanga na msiba moja kwa...
Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018
Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA...
Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level
All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy?
Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka
Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura.
Kabla hujaoa...
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.
Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.