ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bilionea mwingine mndani wa Putin afa ghafla, wataisha hawa jameni

    Matajiri wa Urusi wapo kwenye hali ngumu sana, wanauawa kama senene.... 40-year-old millionaire, suspected of having connections to Alisher Usmanov, dies in Russia On July 22, businessman and CEO of "IKS Holding," Anton Cherepennikov, passed away at the age of 40 in Moscow. The initial cause of...
  2. Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

  3. K

    Kuziba maskio yote mawili ghafla

    Habari wanajamii forum,Niende moja kwa moja kwenye mada,ninae mtoto wa kike alikuwa mzima anasikia vizuri kabisa!Sasa changamotoimekuja baada ya kwenda form five term ya pili2022Akiwa huko akawa hasikii ghafla!Aliporudi likizo tuakaenda kumfanya check-up wamesema Hana tatizo lolote!
  4. M

    Imekuwaje Brigedia Mbuge akumbukwe ghafla huko jkt.

    Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza...
  5. F

    Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  6. Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

    😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti. Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...
  7. Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

    Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu? Msaada tafadhali.
  8. Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  9. Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  10. Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

    Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua. Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu. ==== Belarus...
  11. Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

    Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo... Maombi yenu please nipate ahueni mapema.. Ahsante..
  12. Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

  13. Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
  14. Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Wakuu natumia Optoma 706 Projector, nilikuwa naitumia ikazima ghafla,na haitaki kuwaka.....taa ya standby inawaka, ukiwasha mashine ile taa inawaka na kuzima kama indicator....msaada tafadhali
  15. Kumbe Kuhani Richard Mwacha alitabiri Weekend iliyopita hivi Vifo Viwili vya ghafla?

    *Mliokuwepo hapa Kanisani Jumapili iliyopita mtakumbuka nilitabiri kuwa kutatokea Misiba ya ghafla ya Watu wazito na kama mlivyoona imetokea kweli hivyo nawaombeni leo tusali sana kuomba Baraka ya Uhai kwani bado naliona Wingu la Misiba mingine ipo" alisema Kuhani Richard Mwacha jana Ibadani...
  16. Vifo vya ghafla vya Lemtuz na Membe, naanza kuunganisha nukta!

    Awali ya yote natoa pole kwa familia za Lemtuz na Membe kwa kuondokewa na wapendwa wao. Kifo ni fumbo kubwa. Vifo hivi vimetokea ghafla, hasa kipindi hiki ambacho baridi imeanza kukolea. Le Mutuz na Membe wakati wakiwa hai (Chanzo:Mtandao) Kwa...
  17. Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

    Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K. Kijana ananiambia alikuja Jiran (Jirani naye ana frame pembeni ya Huduma yake) akamuomba elfu Kumi...
  18. Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Tunavyozidi kuendelea na maisha ya kila siku, hatuwezi kuacha kufikirisha bongo zetu. Ziara ya Paul Kagame imenifanya nifikirie sana. Kwanini iwe ziara ya ghafla hivyo? Katika mawazo yangu nimewaza mambo kadha wa kadha. 1. Tayari huko Congo ya mashariki vurugu inaendelea. Na sote tunajua yule...
  19. Derby ya Jumapili ni surprise kwetu Yanga, Baleke ni silaha mpya ambayo imekuja ghafla ndani ya muda mfupi kabla ya pambano kuu, hali si shwari

    Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili. Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto...
  20. W

    Siku nimebaki mimi na kipa tu na ghafla mpira ukugeuka sufuria la hela ndipo nilipoamini uchawi upo!

    Nilikuwa naupiga mwingi kiasi, kabla sijazeeka. Mtama, Lindi kilikuwa kituo changu cha kwanza cha kazi baada ya kuajiriwa. Kama kawaida ya ujana, nikajichanganya kitaa na kufahamika mitaa ile na vijiji vya jirani vyote kuhusu usakataji wangu wa kabumbu. Kule, kabumbu (ligi) linapigwa sana baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…