ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tahadhari: Bei ya mafuta yapanda ghafla kataka soko la dunia baada ya uzalishaji kupungua

    Bei ya mafuta imepanda baada ya wauzaji kadhaa wakubwa wa mafuta duniani kutangaza kupunguza uzalishaji kwa ghafla. Bei ya mafuta yasiyosafishwa ya Brent ilipanda kwa zaidi ya $5 kwa pipa, au 7%, hadi zaidi ya $85 biashara ilipoanza. Ongezeko hilo limekuja baada ya Saudi Arabia, Iraq na...
  2. M

    Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa

    Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa 3 Septemba 2021 Imeboreshwa 21 Januari 2023 CHANZO CHA PICHA,MALAYALAMEMAGAZINE.COM Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na...
  3. Kwanini mtu akinyoa sharubu anazeeka ghafla?

    Ramadhan kareem Kwanini Mtu ukinyoa sharubu sura inabadilika na unazeeka ghafla? Hii imekaaje?
  4. Mtu akiacha pombe ghafla anaweza kufa

    Habari wakuu. Nimekuja tena kuwatisha. Ipo hivi, watu wengi wanafikiri pombe huchochea utendaji wa akili, ukweli ni kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili. kama ilivyo heroin. Ndiyo sababu mtu aliyekunywa pombe hawezi kufikiri wala kutenda mambo sawasawa. Inafanya hivyo kwa kuzuia sehemu...
  5. M

    Kisa: Nini hutokea pale muoaji au muolewaji anapotokomea kusikojulikana baada ya kukusanya michango?

    Salam Wakuu, Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha mapema mwezi huu ata-agwa kutoka nyumbani kwao. Kwa tamaduni za send-off, japo siyo mdau huwa naona...
  6. Msaada Tafadhari: Tablet imezima ghafla, niiwashe vipi?

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na ilikua na chaji ya kutosha. Nimejaribu kuiwasha mara kadhaa lakini imeshindikana kabisa kuwaka. Je...
  7. Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  8. Kuna siri gani ya mafanikio ya ghafla kwa wafanyabiashara ya kuuza smartphones?

    Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma. ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi. Simu hizo bei...
  9. TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  10. P

    Gharama za bia zimepanda ghafla

    Wapenzi wenzangu wa kinywaji kizuri cha beer, tumeingiliwa, beer zetu pendwa kwa bei elekezi zimeanza kupanda kinyemela, Serengeti Lite sasa inauzwa Tsh. 2000 kutoka Tsh 1500, hii siyo fair. Kwanza hakuna sababu za msingi, tumlaumu nani, serikali au viwanda? Maana vinapata faida kubwa tu hata...
  11. Tanzia: Waziri wa mambo ya nje wa Belarus afariki ghafla

    Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta limeripoti, likimnukuu msemaji wa wizara hiyo, Anatoly Glaz. Alikuwa ameshikilia nafasi yake kwa muongo...
  12. Neno anaupiga mwingi limepotea ghafla. Hongera Dkt. Bashiru, andaa nondo nyingine kwenye mikopo, umeme na maji

    Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine na Russia, ufisadi wa Serikali ya awamu ya 6, ukopaji holela kukatika hovyo kwa umeme n,k. Pamoja na...
  13. Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  14. Kipi 'Kimewanyamazisha' ghafla Wahalifu 'Panya Road' Mkoani Dar es Salaam?

    a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi. b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika. c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini. d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
  15. K

    Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

    Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
  16. Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  17. Je, unafahamu sababu za computer kuzima ghafla unapoitumia?

    Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako! Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate ufafanuzi ni sababu zipi hupelekea kutokea kwa jambo hili. Sababu hizi ni kama ifuatavyo; 1. Laptop...
  18. T

    Daah, ghafla nimepunguziwa hamu ya kumtongoza huyu mwanamke

    Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A  ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M. Kwahiyo nilimtumia rafiki yake kuzoeana naye ili iwe rahisi kumtokea. Sasa katika harakati za kulivuta...
  19. R

    Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  20. SoC02 Elimu ya huduma ya kwanza kwa watoto wachanga itolewe kliniki ili kujikinga na vifo vya ghafla vya watoto

    Huduma ya kwanza ni huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo chochote cha afya kilichopo karibu kwa matibabu zaidi. Vifo vya ghafla vya watoto wachanga au kwa lugha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…