"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"
-------
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...