Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa,
Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.