Nimenunua Umeme muda huu, gharama zimepanda kimya kimya kutoka Tsh 125/unit hadi Tsh 312/ unit kwa mita za kawaida (majumbani)

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
4,368
Reaction score
9,937
Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa,

Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme wa 1500 unapewa unit 4.8?! SAWA NA 312 KWA UNIT...!

wanajua hakuna mahala pengine pa kuwakamua wananchi zaidi ya kupitia ununuzi wa umeme...ndio njia rahisi ya wao kujipatia fedha kwa mwananchi bila usumbufu!

TUENDAKO HALI NI MBAYA ZAIDI! Tusipochukua hatua SASA!

TANESCO tunahitaji ufafanuzi!

Screenshot_20250929_103231_Messages.jpg
 
Watanzania ni makondoo. Watalalamika kidogo halafu kila kitu kitaendelea. Hela za kulipa madeni ya anasa na ufisadi. Tanzania is a failed state!
 
Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa,

Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme wa 1500 unapewa unit 4.8?! SAWA NA 312 KWA UNIT...!

wanajua hakuna mahala pengine pa kuwakamua wananchi zaidi ya kupitia ununuzi wa umeme...ndio njia rahisi ya wao kujipatia fedha kwa mwananchi bila usumbufu!

TUENDAKO HALI NI MBAYA ZAIDI! Tusipochukua hatua SASA!

TANESCO tunahitaji ufafanuzi!

View attachment 3480704
Tuendelee kubeti
 
Mimi hapa nilipo kwenye kibanda changu wananchi wanyonge wakija kununua umeme wa buku, huwa wanaambulia units 2+ pekee!! Kiukweli hali siyo nzuri hata kidogo. Na hapo tunaambiwa eti bwawa la umeme la Nyerere, limekamilika!

Bado tuna umeme unaozalishwa kwa gesi asili ya Mtwara! nk. Lakini katika hali ya kushangaza, umeme bado umekuwa kama ni nishati ya anasa na ya matajiri! Wakati ukienda kwa wenzetu walio endelea, umeme kwao ni nishati ya gharama nafuu kabisa. Utitumia kupikia unavyopenda, nk.
 
Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa,

Umeme wa 1000 wa matumizi ya kawaida nilikuwa nikipata unit 8.1 sawa na sh 125 kwa unit, leo umeme wa 1500 unapewa unit 4.8?! SAWA NA 312 KWA UNIT...!

wanajua hakuna mahala pengine pa kuwakamua wananchi zaidi ya kupitia ununuzi wa umeme...ndio njia rahisi ya wao kujipatia fedha kwa mwananchi bila usumbufu!

TUENDAKO HALI NI MBAYA ZAIDI! Tusipochukua hatua SASA!

TANESCO tunahitaji ufafanuzi!

View attachment 3480704
Umezidisha matumizi boss.Jana inimenunua umeme wa 1k unit 8.1.
 
Buku ulikuwa unapata unit 8?

Kwa hiyo buku 10 ilikuwa inakupa unit 80?

Duuh basi kuna watu mnapata raha sana kwenye umeme😀

Huku dunia yetu tusiokuwa na connections huwa tunapata unit 28 kwa buku 10.
Mita uliyofungiwa wewe ni 3 phase( ya biashara) kwa watu wa majumbani ni Singe phase ambapo unit 1 tunauziwa 125.
 
Back
Top Bottom