Habari zenu wana Jf,
Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini.
Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5.
Asanteni sana ndugu zanguni
Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua.
Naomba kujua...
Jana nilimuona Jamaa mmoja akishauri nini cha kufanya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha.
Hoja yake ambayo mimi naiita hoja nyepesi alishauri wananchi kuwa kwa kuwa sasa nchi inapata mvua basi ni wakati muafaka watu kujikita kwenye kilimo ili kuepukana na gharama ya kupanda kwa maisha...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu.
Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
Mwenye uzoefu na gharama zifuatazo anambie nyumba ina vyumba vinne, jiko seble, vyoo viwili na bafu
Gharama ya plaster=
Kupaka rangi=
Wiring=
Plumbing=
Tiles=
Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi.
Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
Inasikitisha sana kumkuta kijana mwenye nguvu chini ya miaka 40 ameingia kwenye uchawa na kushabikia vitendo vya uchawa. Mtu aliyechagua maisha ya uchawa anaweza kudhani kuwa amechagua maisha ya mteremko (kitonga) ama kwa kujitoa ufahamu au kuchukulia kirahisi madhara ya uchawa. Tatizo chawa...
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku Afrika kusini pekee ikipoteza wateja zaidi ya laki nne.
Multichoice imedai kutekeleza malengo yake yote...
- Kukatika katika hovyo kwa umeme
- Fukuza fukuza ya machinga
- Kuongeza nauli hovyo hovyo
- Ubovu wa miundombinu ya barabara
- Kukwama kwa miradi mbalimbali
- Mfumko wa kutisha wa bei
- Rushwa iliyokithiri
Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
Habari wapendwa. Ni wazi dunia inapigana kuhakikisha gari za umeme ndio zinatawala kwa hoja ya kuwa rafiki na mazingira. Licha ya yote bado hizi gari ni changamoto hasa inapopata damage.
Tuchukue mfano kesi ya hivi karibuni huko Vancouver, mmiliki wa Hyundai Ioniq 5 ya mwaka 2022 alipata ajali...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
ahukumiwa
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mama lishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo
Haraka kwenye mada, mambo ni mengi,
Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo,
Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno,
Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
Kama Tangazo linavyo jieleza..
Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji ..
Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja
Tuka msikilize Baba Mtakatifu.
Tukaone masalia matakatifu.
Tukaone...
Habari wakuu,
Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
bahari
beach
bei
eneo
eneo linauzwa
funga
gharama
karibu
kigamboni
kinauzwa
kituo
kivule
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
magari
makamba
malaika
mbezi
mwaka
shule
ukubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.