Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida..
Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure.
Hata kwa...
Siku ya leo, nikajikuta bora nimsalimie mrembo wangu mwenye ujauzito aliyepo mkoani.
Baada ya kuchat kwa muda, ikaonekana inabidi tuonane ili kukipa lishe kile kiumbe; ingawa uchumi hauko vizuri, ila kutokana na ushawishi pamoja na uzuri wake, nimejikuta nakubali mualiko.
Nilipomuuliza kuhusu...
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi
Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
Habari wakuu
Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money!
Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
Kama mwanaume utahitaji show utoe hamu zako na hauna bajeti nzuri gharama ya chini kabisa ni Tsh 30000-50000 kwa raundi 3.
Jijini Dar gharama ya kupata ngono haizidi 15000 kwa raundi 3
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli.
Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.
Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
Salamu,
Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake.
Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
Wakuu GT
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa bahati mbaya hiyo CD imevunjwa na watoto na sina copy nyingine.
Kwa yeyote anayemfahamu huyu dada...
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa.
Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini.
Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
Sasa ni muda muafaka kwa vijana kuingia kwenye kilimo. Najua vijijini gharama za kilimo huwa chini, unaweza kubahatisha mashamba yenye rutuba na yanakodishwa kwa bei nafuu.
Na pia katika kuimarisha umoja katika maeneo hayo, wanakijiji hao hao wanakuwa vibarua kwenye hayo mashamba, ambapo...
Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios
I. Utangulizi
Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa.
Mimi Kwa utafiti...
Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi
Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni.
Utaratibu huo nakuja baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.