ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  2. Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  3. S

    Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

    Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi? Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki? Watanganyika tuamke Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar...
  4. G

    Mliozaliwa 1965, 1975, 1985, 1995, 2005 huu ndio mwaka wenu wa kupanda ghorofa / floor mpya

    2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s 1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed, 1985 - 4 th Floor, ujana kwaheri japo mtaufosi 1975 - 5th floor, hongera umeishi nusu karne 1965 - 6 th Floor, Anza...
  5. T

    SI KWELI Video hii ya kuku akiruka kutoka ghorofa moja hadi lingine ni halisi

    Nimeona video inayosambaa ikimuonesha kuku ameruka kutoka ghorofa moja hadi lingine huku watu wakisema kuwa kuku akiacha uvivu anaweza kufanya hivyo. Je, hii ni kweli?
  6. M

    Msaada wa gharama ya msingi wa ghorofa moja

    Habarini ndugu zangu, Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter. Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi. Asanteni sana kwa mda wenu.
  7. Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
  8. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  9. G

    TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  10. Shuhuda anashuhudia jinsi ilivyokua chini ya kifusi baada ya ghorofa kuporomoka Kariakoo

  11. Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

    Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Waliokosa dhamana ni...
  12. Vifo Kariakoo vyafikia 29, zoezi la uokoaji lafikia tamati

    Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana. Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
  13. U

    IDF yasambaratisha kwa makombora jengo la ghorofa 8 Beiruti huku ikidaiwa mlengwa alikuwa kiongozi mkuu mpya Hezbollah Naim Qassem!

    Wadau hamjamboni nyote? Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi Talal Hamiya Watu 4 wameuawa na 23 wakijeruhiwa vibaya Jengo hilo la ghorofa 8 limesambaratishwa...
  14. SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
  15. Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  16. Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  17. DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

    Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
  18. Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  19. Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

    Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii imenifundisha mambo mengi sana, yakiwemo haya hapa: 1. Watawala wa nchi hii hawana huruma kwa wanyonge...
  20. Maduka jirani na ghorofa lililoporomoka yazuiwa kufunguliwa

    Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara. Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…