ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. nyboma

    Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  2. chiembe

    Soko la Karume haliwezi kubaki na mabanda ya mabati katikati ya jiji, Serikali ijenge soko la ghorofa kubeba machinga wengi

    Nadhani Tume iliyoundwa isilegee kwenye hili, ipendekeze ijengwe ghorofa ambayo itabeba maelfu ya wamachinga, kuliko hali ya Sasa katikati ya Jiji Kuna mabanda ya mabati tu, ijengwe structure ambayo itabeba mambo mengi ikiwemo mabenki, mama lishe, maofisi, huduma mbalimbali. Jengo hilo lijengwe...
  3. Mbao Tanzania

    Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  4. beth

    Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  5. Lycaon pictus

    Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe?

    Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe? Eti wakuu inawezekana kufanya hivyo?
  6. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  7. Kocha mchezaji

    House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa Bunju B

    Nyumba nzuri na mpya iliyo na servant quarter inapangishwa Bunju B. Bei 2,500,000/- Simu: 0713763026
  8. al-baajun

    House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

    Nyumba ni ya familia tunauza. Nyumba inafaa sana kwa hotel,guest or Airbnb(watalii wengi sana) Ipo katikati ya mji mkongwe(stonetown),karibu na maeneo yote ya utalii kama forodhani,beach nk Nyumba ina nyaraka zote na mtanzania yoyote anaweza akanunua(ukiwa sio mtanzania hutoweza labda mtu...
  9. sajosojo

    Kwa Uzembe Huu wa CRB tujiandae na janga la ghorofa kuanguka hapa mjini

    Leo nilikuwa na route za sehemu mbalimbali hapa down town yaani Dar es Salaam, nimeona majengo mengi yakijengwa chini ya kiwango na mamlaka husika zipo zinawaangalia tu, mfano kuna jengo moja pale Magomeni Mikumi yaani limelala kama kinadondoka na kuna jengo lingine liko kama unaenda Coca-Cola...
  10. Bipolar

    Jengo la ghorofa 5 laporomoka leo Kiambu

    Jengo lingine la ghorofa 5 laporomoka huko Kiambu. Majirani poleni na muongeze juhudi kusimamia ubora wa majengo kuepusha vifo. Source: https://www.the-star.co.ke/news/2021-08-30-five-storey-building-collapses-in-gachie/
  11. eliakeem

    Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
  12. RealEstate Agent

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  13. L

    Ubungo Riverside kuna ghorofa inachafua tunu za taifa

    Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika. Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
  14. Replica

    Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  15. E

    Ghorofa ya kifahari inapangishwa Kigamboni Mjimwema Tsh. 800,000/=

    Nyumba ya kifahari ghorofa moja inapangishwa kigamboni mjimwema. 0756590833, 0623579290 Kitchen Shelf, Pre Paid Meter, Dining Area, Air Conditioning, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity, Dishwasher, Wardrobe, Kitchen Cabinets, Tiled Floor, Hot Water ina vyumba vitatu vitatu na kimoja nje, yaani...
  16. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  17. BAK

    Govt orders 3 towers razed in the wake of Friday building collapse

    By Elisha Magolanga Dar es Salaam As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday, the government ordered a demolition of three structures close to the ill-fated one over safety...
Back
Top Bottom