Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
Ukweli unatuweka huru.
Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake.
Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz.
Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana.
Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu.
Mungu ataendelea...
Hawa magaidi wa dini hizi hela wangezitumia vizuri wangebadilisha maisha ya Wapalestina, yaani miaka yote waliwekeza kwenye miundo mbinu ya kiugaidi tu. Israel wana kila haki ya kufyatua Gaza na kuifanya majivu, haiwezekani unaishi jirani na watu ambao kila siku wanawaza kukufuta kwenye ramani...
Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa.
https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo
Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania.
Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na...
Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake.
Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe.
https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo.
Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote.
OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa...
Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani...
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa...
Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu?
Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi...
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.
Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.
---
UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF
DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
Imeandikwa katika gazeti la mzalendo:
Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za afya, ikiwemo kujenga hospitali yenye ghorofa sita.
Jiji la Dar es Salaam ikiwemo eneo la Mbagala...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50.
Pia, Mbunge wa Njombe...
Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF.
Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China.
A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.