Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria.
Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground.
Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio...
Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa.
Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
📌🗒Ina Hati safi kabisa
📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
beach
beach plot
bunju
for sale
ghorofa
house for sale
kigamboni
kigamboni housegosale
kisasa
madale
magufuli
mbezi
mbezi beach
mbweni
nyumba
nyumba ya ghorofa
plot
plot for sale
plots
sale
university
upanga
viwanja goba
Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini
Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa
Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
October 11, 2024
LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT
Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut
Today, 1:55 pm
13
Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters
Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
Habari za leo wakuu
Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq
Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi,
Natamani kujua makisio kwa floor
14*17
Naombeni msaada
IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA
GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO
NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO
BEI MIL 750
TITTLE DEED MKONONI
ENEO SQM 1200
KARIBU SANA MTEJA
KARIBU KINYEREZI MKUU UISHI NA MABOSI
0625034172
0755518791
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara?
Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.
Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...