ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. M

    Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  2. J

    DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF). Leo Jumatatu, 📆02 Januari 2023 📍Skuli ya Sekondari...
  3. J

    House4Sale Ghorofa inauzwa(imeshuka bei), Dege - Kigamboni

    Habari wana jukwaa..., Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja...
  4. Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  5. J

    Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  6. Yeysk, Urusi: Ndegevita ya Urusi yaangukia ghorofa la makazi, wanne wafariki

    BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa. Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi kwenye jengo la ghorofa huko magharibi ya urusi.kwa jinsi milipuko inavyojirudia inaonekana ndege hiyo...
  7. Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  8. House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  9. Karume, Dar: Ghorofa linaungua muda huu

    Mliopo Karume mtujuzee zaidi, nyuma ya Sheli kuna ghorofa floor ya pili inaungua. Mtatujuza, maana nipo highway nawahi Muhimbili.
  10. INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

    One story design FIRSTST FLOOR -Two bedrooms(master&self) -small living room -toilet -Dining -Gym GROUND FLOOR -Three bedrooms (1master) -Dining -Living room -Kitchen -store -Toilet WhatsApp +255678418272
  11. 15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  12. 15 wauawa kwa kufukiwa na vifusi vya ghorofa lililoshambuliwa na Urusi mashariki mwa Ukraine

    Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa wanasema. Waathiriwa watano wamefanikiwa kuokolewa wakiwa hai. Idadi ya waliofariki ilitolewa na afisa...
  13. SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet. Plot size Sqm 750 Clean title deed (HATI MILIKI IPO) BEI MILIONI 500 (500,000,000) Mawasilinao 0782 780980
  14. Kama pato lako ni chini ya milioni 3 jenga ghorofa la Kinyakyusa ukiwa na ndoto ya kujenga ghorofa kwa sasa!

    Ujenzi wa sasa ni gharama, Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie. Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani. Endapo una ndoto ya kujenga ghorofa na kipato chako NET ni chini ya milioni tatu kwa mwezi, sikushauri. Ila...
  15. M

    S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani kueleza kuwa nyumba hiyo ilijengwa kwenye kiwanja kilichouzwa kwa mnada isivyo halali. Uamuzi huo umeirejeshea furaha na kuipa utajiri wa ghafla familia ya...
  16. Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
  17. J

    House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  18. House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  19. Mjengo wa ghorofa unaweza kugharimu kiasi gani?

    Natamani kuanzisha mradi wangu niufanye kwa miaka mitano. Maoni yenu ni muhimu sana wakuu
  20. Mwenye picha ya nyumba inayogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee

    Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee Ova.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…