ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa ghorofa za apartment

    Habari za humu wakuu, Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

    Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

    Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule. Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
  4. JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  6. JamiiForums Tanzania Video: IDF wagundua handaki lenye ghorofa kadhaa kwenda chini

    Hawa magaidi wa dini hizi hela wangezitumia vizuri wangebadilisha maisha ya Wapalestina, yaani miaka yote waliwekeza kwenye miundo mbinu ya kiugaidi tu. Israel wana kila haki ya kufyatua Gaza na kuifanya majivu, haiwezekani unaishi jirani na watu ambao kila siku wanawaza kukufuta kwenye ramani...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

    Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake. Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
  10. G

    JamiiForums Tanzania KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  11. JamiiForums Tanzania Mtalaka aliyeghushi umiliki wa ghorofa arejeshwa gerezani

    Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
  12. JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  13. JamiiForums Tanzania Raman ya ghorofa ya kisasa ya kupangisha

    Kama unaitaji nichek 0743257669
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Butimbaru ya ghorofani makutano ya majambazi Bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa

    OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote. OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo ya ghorofa ni dhulma, haikubaliki

    Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu. Thamani ya jengo la jirani...
  16. JamiiForums Tanzania Wamesusa Mabehewa ya Ghorofa yaliyofika, Watanganyika wanalia kuuzwa kwa Bandari yao

    Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda. Gafla wakatoa mkeka wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hili la Joel ( Joe ) na Kujirusha Kwake hadi Kufa Ghorofa la DERM Makumbusho linaanza kunipa Mashaka Kifikra na Kimtizamo

    Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu? Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi...
  18. JamiiForums Tanzania Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10. Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja. ---
  19. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia Usipime, Hospitali Ghorofa Sita Yanukia Mbagala

    Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za afya, ikiwemo kujenga hospitali yenye ghorofa sita. Jiji la Dar es Salaam ikiwemo eneo la Mbagala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…