Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu...
Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza.
Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda.
Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika.
Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii.
Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike
Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea.
Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba.
Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa...
Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali.
Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.