good morning

  1. Cecil J

    Good morning, rise and shine. Kwanini hata leo hautaki kuenda kanisani?

    Habari za asubuhi! Uwe na siku njema, nina swali dogo tu. Je, kwanini hata leo hautaki kuenda kanisani?
  2. N

    Good morning, afternoon, evening JF.

    Nafuraha kuungana na JF family
  3. Antennah

    Binafsi namshukuru Mungu nimeamka nikiwa salama salimini

    Goood Morning, Habari za asubuhi wapendwa wana JF. Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo mmoja ni jamaa tu jirani yangu katika mtaa huu tunao ishi. Na jana nimeonana nae maeneo ya car wash...
  4. Determinantor

    Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  5. Tindo

    Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  6. BARD AI

    Kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM ni makelele tu wanapiga, hakuna Content yoyote

    Hivi wakuu mnaosikiliza Wasafi FM asubuhi mnawaelewa kweli? Kuna kitu kipya mnagain pale? Wale jamaa muda wote ni kuchekacheka tu, kubishana, kupandiana wakati wa kuongea kiasi hakuna maelewano! Kila mtu mjuaji pale.
Back
Top Bottom