google

  1. osmaney

    Pretend This Is Google And Search For Anything. Someone Will Reply You.

    Just pretend FamiiForums is google and search for anything you wish to know. Someone will definetly reply you in seconds or minute. Some people are natural encyclopedia or a genius. Let the enquiry begin.
  2. Lexus SUV

    Hivi kweli simu za HUAWEI bado zinatumia google playstore?

    Kwa sababu kama mnavyojua jinsi serikali ya Marekani ilivyoweka sheria zake katika makampuni ya china , napenda uliza swali tajwa hapo juu.
  3. The Assassin

    Google phone app sasa inapatikana kwa simu karibu zote za Android

    Call app bora kabisa ya kwenye simu ya Google Phone App sasa inapatikana kwa karibu simu zote za Android kwenye Google Play Store kwa ajili ya kupakuliwa. Hii Google Phone App ilikua maalum na mahususi kwa ajili ya simu za Google, Pixel ila sasa inaweza kutumika kwa simu nyingine za Android...
  4. MK254

    Akili kubwa - Mkenya ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Google Afrika Mashariki, amechukua kutoka kwa Mkenya

    Agnes Gathaiya Agnes Gathaiya has been appointed the new Country Director for East Africa at Google. Agnes, who boasts a 21-year experience in organizational transformation, focused on developing strategy, will manage the regional operations for East Africa. She will be responsible for...
  5. sky soldier

    Ramani: Nchi za Afrika zinazosechiwa Google na nchi nyingine za Afrika

    Afrika Kusini wanasechi sana ishu za Zimbabwe Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini Congo wanawasechi sana Nigeria Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya Burundi wanawasech sana Rwanda
  6. 2019

    Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
  7. S

    Google kusitisha malipo kwa njia ya Western Union

    Kampuni ya GOOGLE upande wa matangazo imesitisha malipo yake ya matangazo yanayopatikana kwenye application za simu (admob) na blog au website (AdSense), Google wamenitumia E-mail kufikia mapema mwa mwaka kesho (2021) watasitisha rasmi malipo kwa njia ya Western Union. SWALI : Western Union...
  8. IAfrika

    Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  9. Miss Zomboko

    Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  10. Suley2019

    Google wanakabiliwa na tuhuma ya kuingilia faragha za watumiaji wake, watakiwa kulipa fidia ya dola bilioni 5

    Google na kampuni yake Mama iitwayo Alphabet Inc wameshitakiwa kwa kuingilia kinyume cha utaratibu falagha za mamilioni ya watumiaji wake ambapo wanatakiwa kulipa fidia ya dola bilioni 5 kwa kosa hilo. Google hadi sasa bado Google hajatoa maelezo yoyote kufuatia tuhuma hizo. inaelezwa kuwa...
  11. Money Penny

    Mapenzi hayana Google, vijana jifunzeni kwa watu walio watangulia

    Sio maneno yangu ni maneno ya huyu Kaka anaeongea Sana 🙆🙆 Anasema Eti vijana Mapenzi jifunzeni Kwa wakubwa waliowatangulia Umri, sio mnaenda Google au Porn Hub Ila huyu Kaka anaongea balaa, kiru 🏃🏃🏃
  12. M

    Top ( 10) Adult-move watching Countries according to Google

    The 21st century is indeed a digital era where people around the globe can sit in the comfort of their homes to access the world with a simple click from their phones. It's no longer news that there are millions of people around the globe who are into watching adult movies. Unfortunately all...
  13. Wazalendo unity_official

    Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%...
  14. Analogia Malenga

    Wafanyakazi wa Google wataanza kufanyia kazi ofisini Julai 6

    Baadhi ya kampuni za teknolojia na habari zimewaambia watumishi wake kuwa wataendelea kufanyia kazi nyumbani muda wote, makampuni mengine yamepanga kuendelea na kazi katika ofisi zao hivi karibuni Moja kati ya kampuni litakalofungua ofisi zake ni Google. Mkurugenzi Mtendaji wa Google amesema...
  15. Titicomb

    Je unajua kwamba yawezekana kuna watu wanajuwa nywira(password) yako ya Jamiiforums, Google, internet banking na kwingineko?

    Leo nataka nikujuze kwanini kuna wakati baadhi yetu tuna watuhumu kimakosa JF wana mtu anayetoa siri za watumiaji wake waliojisajiri kumbe hawahusiki . Unakumbuka wakati flani kuna account ya mwana JF mwenye jina la jamaa mmoja maarufu mtandao wa twitter iliwekwa wazi account yake kwenye...
  16. Mukulu wa Bakulu

    Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  17. Analogia Malenga

    Virusi vya corona: Google yazuia mamilioni ya barua pepe za wadukuzi

    Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google. Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo umesababisha uhalifu wa mtandaoni kukua kwa kasi huku wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali ili kuvamia...
  18. TECNO Tanzania

    Kampuni ya Simu ya TECNO Yaimarisha Ushirikiano wake na Google Kwenye Mkutano wa Maonesho ya Teknolojia 2020

    Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google. Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
  19. Cicero

    Google Pixel 4 XL ni simu nzuri kwa Tanzania?

    Wasalaam. Nina mpango wa kununua simu na kwa sasa options ninazozifikiria ni 1. LG G8 Thinq 2. iPhone X / XS Max / 11 3. Google Pixel 4 XL Naomba kwa mwenye ujuzi na hizi simu za Google anieleze kwa nini hazitumiki sana kwa hapa Tanzania. Zina kasoro yoyote? Ukute labda kuna functions haziwi...
Back
Top Bottom