google

  1. Kichuguu

    Google Map Street View Africa na Tanzania kwa Jumla

    UKwa kutumia google Map unaweza kuona hali hali halisi ya sehemu mbalimbali za dunia na kuzifahamau hata bila kufika. Hii imekuwa pia inasaidia watalii kutembelea sehemu fulani za dunia kujihakikishia wanyaoona huko Google maps. Ukiangalia ramani ya dunia, utaona kuwa Amerika ya Kusini, Amerika...
  2. I

    Hivi vyeti vinavyotolewa online na mashirika kama google na etc vina soko kwa waajiri?

    Kama kichwa cha habari hapo kinavouliza. Je hizi online course zinasaidia kwenye kupata ajira kweli? Maana kama ni skills kweli mtu unajifunza ila je vyeti vinavyopatikana kwa njia hii viko marketable?
  3. E

    Zipo baadhi ya nchi zilizouza maeneo yao

    ukiingia google ukasearch kwa heading List of territory purchased by a sovereign nation from another sovereign nation Utaletewa nchi nyingi sana zimefanya biashara hii na wanakuletea mpaka bei walinunua Mifano michache Louisiana - Marekani ilinunuliwa kutoka France kwa USD 15,000,000 Florida...
  4. Kasomi

    Google kutengeneza Miwani Janja (Smartglasses)

    Tetesi zinaonyesha kampuni ya Google ipo mbioni kuingia katika soko la Miwani za AR na imeanza majaribio ya kutengeneza AR Glasses zake. Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok, Xiaomi, Oppo na Huawei zilionyesha Smart Glasses mpya ambazo zina uwezo wa Augmented Reality. Apple pia...
  5. Kasomi

    TikTok yaipiku Google kwa wingi wa watumiaji wa mitandao

    TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia. Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT. Viwango hivyo vinaonyesha kuwa TikTok...
  6. I am Groot

    GOOGLE DOODLE: celebrates Tanzania’s Independence Day 2021

    Today Google doodles on Tanzania's Independence Day in commemoration of the day when Tanganyika, the mainland region of Tanzania, gained independence in 1961. ===== Ni kawaida kwa google kubadilisha muonekano wa nembo yao katika home page kulingana matukio mbalimbali kwa siku husika. Happy...
  7. lolypop

    Google: Happy independence day

    Sijawahi ona hii kitu miaka ya nyuma
  8. Kasomi

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
  9. Kasomi

    Google pixel Fold Haitoki tena

    Kutoka katika vyanzo vya kusambaza material na utengenezaji wa simu za Google Pixels, kwa supply na order za sasa, inaonekana Google imefanya maamuzi ya kusitisha kuzitengeneza simu za Pixel Fold ambazo zilitegemewa kutoka mwaka huu. Mabadiliko hayo yatapelekea Pixel Fold isitoke mwisho wa...
  10. Superbug

    Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  11. beth

    Uchaguzi Urusi: App ya Navalny yaondolewa Apple na Google Store

    'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge. Mamlaka zilitishia kuzitoza faini Kampuni hizo ikiwa zitakataa kuiondoa. Uchaguzi utafanyika kwa siku tatu kuanzia...
  12. F

    Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

    Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari. Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in...
  13. Jaji Mfawidhi

    Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

    It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies. WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from...
  14. Android

    Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  15. KENZY

    Wenye draft la dalmax wekeni hapa file lake naona Google play wameshalifuta

    Wakuu msaada tafadhari nataka Tena niumize kichwa na hili gemu.
  16. beth

    Donald Trump awasilisha kesi dhidi ya Facebook, Twitter na Google

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...
  17. B

    Jinsi ya kuthibitisha PIN Google Adsense

    Habari zenu Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe. Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na nimepata uzoefu mkubwa sana kuanzia kwenye kutengeneza blog, kuendesha blog na ku-brand. Kufikia mwezi...
  18. beth

    Google, Twitter na Facebook zatishia kuacha kutoa huduma Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha. Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
  19. racka98

    Phone4Sale Google Pixel 4

    Google Pixel 4 panda white in perfect condition. No major scratches or dents. Phone cover included. 4GB RAM. 64GB Internal. 90hz high refresh rate screen. CPU: Qualcomm Snapdragon 855 Android 11 (guaranteed upgrade to Android 12 & 13) Amazing Camera quality. Dual Camera: 12.2MP normal...
  20. Red Giant

    Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

    Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card. Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
Back
Top Bottom