Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer.
Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi.
Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...