Wakuu kama ilivyokuwa kichwa Cha ujumbe hapo juu. Niko under pressure ninatakiwa nifanye presentation kesho mchana na ninajiona kwa kila namna sijakamilisha some infos.
Please msaada wenu wanajamvi...picha ya PC iliyovunjika kioo. I hope msaada nitaupata please sio za google nitadakwa.
Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a.
Good condition ✅
🛜 5g
🗄️Gb 128.
🔋Inakaa sana na charge
📷 Kamera kali 🔥
Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road
Price; 280,000/=
Je ? Una google play console account.
1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza).
2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code.
3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni
Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana
Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja.
Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo...
Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando.
---
Today, Google announced new investments in digital...
Hivi karibuni nilinunua simu ya google pixel 4xl ambayo nimeitumia Kwa takribani miezi 5 then ilizima ghafla na ever since haijawaka tena despite kujaribu kuipeleka Kwa mafundi mbalimbali wa simu, huko nimekuta kwamba hili ni tatizo sugu Kwa hizi 4xl ,yaani ikizima ni matanga na msiba moja kwa...
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play.
Android’s theft protection features keep your device and data safe
Theft Detection Lock Simu itatumia AI...
[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana.
Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
#TeamPixel
Google wamezindua Pixel 8a, ambayo ni cheap version ya Google Pixel 8, ikiwa na Tensor G3 chipset.
Kimuonekano inafanana na Pixel 8 na 8 Pro. Ikiwa na kioo cha OLED cha 6.1 inch FHD.
Nyuma camera mbili (64MP & 13MP) na mbele kuna 13MP. Camera zina uwezo wa kurecord 4K video at...
Habari za mei mosi wakuu
Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts.
Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo
simu sio mpya nimekaa nayo takribani miaka miwili sasa ila hakujawahi tokea kitu kama hicho.
Nawasilisha
Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili
"Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.