Brand : Google Pixel
Model : Google Pixel 5a
Network: 5G
Ram : 6 GB
Storage: 128 GB
Screen Size: 6.34 inches
CPU : 2.4 GHz
Cover la sim gumu unapewa bure
Bei: 430,000/=
Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k
Nipo Dar es salaam
Karibuni sana
Habarini wakuu,
Ukiacha advertising platform kama facebook , instagram na twitter nani yupo familiar na google ads namaanisha vitu kama gharama, namna ya kudeliver na vitu vingine muhimu
Maana kwenye biashara ni kitu muhimu sana kuongeza wigo au coverage,
Mambo vipi watu wa Tech.
Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa.
Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina jihusisha na shughuli za matangazo(ADS) kwenye Apps
Kinacho fanywa na google Admob ni kushare mapato...
Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia...
Nimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE.
HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA ON.Ukizima data unatoboa siku 2.
Imenyooka sana CAMERA KALI.
Sim aina ya Google Pixel 6A used but in good condition.
Ram 6 GB
Internal storage 128 GB
Single sim card
Size 6.1 inches
Network 5G
Bei 500,000/=
Protector cover bure
Nipo Tabata Segerea
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'.
Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani?
Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo?
Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo
Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla.
Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google aje apande Hapa Jukwaani akisifu ustady wake na jinsi anavyo tumia katika shughuli zake.
Mano;wa...
Salamu, wana JF!!!
Uzi huu ni makhususi kwa ajili ya marejea au mafafanuzi ya mambo mbalimbali muhimu. (Simply ^kuwekana^ sawa)!!!
Hii ni kama Google ndogo -- Google JamiiForums!!!
Inaweza tukio au tarehe fulani ya tukio, neno au matumizi yake, habari tata, hoja isiyoeleweka, historia fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.