google

  1. Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
  2. Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

    Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
  3. Msaada wadau nahisi kuingiliwa kwenye Google account yangu

    Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona sms kibao kutoka Facebook ya mtu mwingine tena kila siku mwanzo nilikuwa nafuta nikiziona lakini now...
  4. U

    Msaada wa google support customer service

    Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni. CHIEF MKWAWA
  5. Urusi yatishia kupunguza kasi ya Google

    Urusi imetishia kupunguza kasi ya Google ikiwa itashindwa kufuta kile ambacho Taifa hilo linaita ni maudhui yanayovunja Sheria huku Mamlaka ikitoa saa 24 kwa video zinazohusiana na Dawa za Kulevya na vurugu kuondolewa. Kampuni hiyo pia umeshutumiwa kuminya Mtandao wa YouTube kwa Vyombo vya...
  6. Sasa unaweza kuifundisha Google Assistant kutamka majina kwenye simu yako

    Kama umekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya Google Assistant, utakuwa unafahamu ni kwa ainsi gani huduma hii ilivyorahisisha utafutaji kwenye simu yako. Ni rahisi kutafuta kuhusu hali ya hewa, matokeo ya mechi, mgahawa ulio jirani, nk., vyote kwa njia rahisi tu ya kuzungumza kwenye simu yako...
  7. Computer and google map experts

    Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m Nikahisi kuna mtu ametumia google map kufanya tracking ni njia ipi atakayoitumia...
  8. Naomba kujuzwa jinsi ya kupakua notes zilizo katika mfumo wa google drive

    Mwenye ujuzi anifahamishe tafadhari. Nawasilisha
  9. R

    Msaada tafadhali kufanya back up ya contacts zangu toka kwenye simu kwenda google akaunti

    Simu yangu ni Tecno K9. Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka. Please assist.
  10. Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  11. Google yatishia kusitisha huduma zake Australia ikiwa Serikali haitabadili sheria mpya ya malipo ya maudhui, Facebook yafuata mkumbo

    Kampuni ya Google imetishia kufunga huduma zake nchini Australia ikiwa Serikali ya nchi hiyo haitabadili muswada unaoitaka kampuni hiyo kulipia maudhui yanayotoka nchini humo. Mkurugenzi Mtendaji wa huduma za Google Australia, Mel Silva aliiambia kamati ya Senate kuwa hatua hiyo ya serikali...
  12. Jinsi ya kutumia Google Lens kutambua vitu

    Google Lens ni teknolojia ya kutambua vitu mbali mbali katika picha. Hii inahusisha maneno, tafsiri, wanyama, aina za matunda, aina za miti, picha zilizopo mtandaoni zinazofanana na picha yako, nk. Hii teknolojia ipo kwenye simu nyingi za Android kupitia Camera application, Google Photos app na...
  13. Sehemu nne za kunasa wateja mtandaoni 2021

    Hii ni kwa wafanyabiashara,wamiliki wa blogs na wamiliki wa mitandao(tovuti) makala hii inakupa vyanzo vinne vya kupata watembeleaji na wateja mtandaoni na mbinu za kunasa watembeleaji kutoka vyanzo husikia. Vyanzo vyenyewe ni kama vifuatavyo 1. Google search 2. Facebook 3. Youtube 4...
  14. Uganda: Google yakataa kufunga channel ya YouTube kwa maombi ya Serikali

    Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni Google wamesema huwa wanafuata sheria za nchi lakini ni lazima iwe amri ya mahakama. Maombi...
  15. Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  16. K

    Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

    Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya. Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na...
  17. Pale tutakapokuwa tumekabidhi maisha yetu kwa Google

    ‘Hi Google, based on everything you know about cars, and based on everything you know about me (including my needs, my habits, my views on global warming, and even my opinions about Middle Eastern politics) – what is the best car for me?’
  18. 'Google Photos’ kuanza kulipiwa

    Kampuni maarufu duniani inayojishulisha na masuala ya TEHAMA ‘Google’ itaanza kulipisha watumiaji wake wa mtandao wao wa kuhifadhi picha mtandaoni (Google Photos) ifikapo Juni 2021. Mtandao huo ambao upo wazi kwa kila mwenye akaunti ya Google, umekuwa ukitoa huduma ya uhifadhi picha bure huku...
  19. Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

    Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi wana prefer tutumie google docs/sheets ili waweze kutrack progress ya kazi. Uzuri ni cloud service...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…