Wajukuu zangu leo nataka niwaeleze mambo fulani, fundo ambalo limenikaa kooni mpaka nashindwa kuhema. Aliyewaroga kafa na katupa gunia chini ya bahari kukiwa na chuma kizito ndani yake kusiwe hata na chembe ya matumaini kuwa ipo siku litaonekana na kufunguliwa mkawa huru. Mmefungwa akili, ama...